Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu Tanzania kupanga kununua umeme nchini Ethiopia

Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu Tanzania kupanga kununua umeme nchini Ethiopia

Ufafanuzi haujitoshelezi, unaongeza maswali zaidi!
 
Mbali ni Stiglers. Ethiopia ni karibu kabisa. Kwani hamjui kuwa kutoka Dodoma mpaka Arusha ni mbali kuliko Addis Ababa mpaka Arusha?
Hapana. Addis Ababa ni mbali kabisa karibia Km 2000 toka Arusha wakati Dom Km 400
 
Kwani kuusafirisha umeme kutoka kusini mgharibi,na kutoka Ethiopia wapi ni mbali?
Je Ethiopia wanawezaje kusafirisha kutoka huko hadi huku bila upotevu?
Ila sisi tushindwe kusafirisha ndani ya inch yetu wenyewe kisa upotevu??SI Bora upotee ukiwa kwetu?
 
Maswali kwenu wataalamu!
1. Nini kinatofautisha umeme unaozalishwa kwa maji Ethiopia uwe wa bei ya chini halafu umeme wetu wa maji uwe wa bei kubwa?

2. Wataalamu wa Ramani ya Afrika, wapi ni mbali kati ya kutoka Ethiopia kupita Kenya mpaka Kaskazini mwa Tanzania, na kutoka Kusini mwa Tanzania mpaka Kaskazini mwa Tanzania?

3. Umeme utakaotoka Ethiopia kuja Tanzania wenyewe haupotei njiani?

4. Umeme utanunuliwa Ethiopia kwa bei ya chini, je utauzwa kwa wananchi wa Kaskazini kwa bei ya chini pia?
IMG-20250309-WA0071.jpg
IMG-20250309-WA0069.jpg
IMG-20250309-WA0070.jpg
 
Unajua Tanga, Kilimanjaro na Morogoro kuna jumla ya vyanzo vingapi vya UMEME? Au na Wewe umekariri? Unaifahamu Nyumba ya Mungu hydro powers? Pangani hydro powers? Hale hydro powers? Etc hizo hazitoshi kuboreshwa?? Hadi utoe UMEME Ethiopia?
Tafuta study iliyopelekea kuamua hilo hawajakurupuka
 
Kenya ....40% wanasambaza walionunua Ethiopia uko 200km from boarder yetu....cost zao kuleta boarder....beiaoiko cheap zaidii yetu......kufikisha huko ftom rufiji sio chini miaka 6...plus cost zoote fidia etc....bado kupeleka Mwanza Ngara...bado Mveya Rukwa ( wanatumia zambia).....hii sio siasa we need pesa na kipaumbelee ....kumbuka bado maji tu rahisi hatuwezi kufikisha......weeee sikia tuuu.......hapo hakuna siasaa
Usitufanye wote wajinga Ndugu, Huko kote kuna vyanzo vya UMEME, unavyoandika it's like tuko gizani Kabisa.....

Hio kaskazini peke yake ina vyanzo vya kutosha, huhitaji UMEME wa Kenya.

Nyumba Ya Mungu
Hale
Rufiji
Kidatu
Kihansi
Mtera
Rusumo
IPTL
SONGAS
 
Ethiopia Nchi yenye jangwaaa na vita kila siku wanapewa dili la kuuzia umeme nchi yenye Gas asilia ya kutosha na Bwawa kubwa la kuzalishia umemee.. Hakuna ufafanuzi wa huu upuuzii hata maiti haiwezi kukuelewa achilia viumbe hai kama mbwa na pakaa.
 
Back
Top Bottom