Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu Tanzania kupanga kununua umeme nchini Ethiopia

Kwani umeme unasafirishwa kwenye magari.......!

Grid ya taifa nilijua ukishaingizwa miundombinu iliyounganisha ipo tayari shida ya nini ukanunue nje wakati kila siku tunaambiwa tuna umeme mwingi ambao hautumiki. CCM ni laaana katika taifa hakika.
 
Attachments

  • IMG-20250307-WA0016.jpg
    118.1 KB · Views: 1
Umefika wakati sasa wanasiasa wanawaona wananchi kama ma-zuzu matupu! Kweli mnathubutu kuwaambia watu ujinga mkubwa hivi? Yaani hata serikali yenyewe haijui kwanini wananunua umeme kutoka nje!!!
 
Kwani umeme unasafirishwa kwenye magari.......!

Grid ya taifa nilijua ukishaingizwa miundombinu iliyounganisha ipo tayari shida ya nini ukanunue nje wakati kila siku tunaambiwa tuna umeme mwingi ambao hautumiki. CCM ni laaana katika taifa hakika.
Hivi huko JW hakuna wanaojua haya mambo kweli wakafanya kama Ibrahimu wa Magharibi
 
Na hii hapa ni kauli ya mtu huyohuyo 👇
 
Total rubbish, hii miradi ya kisenge, kipindi hiki kuelekea uchaguzi, ni mbinu za wizi tu, eti umeme unapotea kwa, kiasi cha bilioni 32! Ila gharama ya, kununua, haisemwi, ni, porojo tu eti ni nafuu, ass holes ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…