Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Kwa maelezo hayo, maana yake.Naam kama kawa kama dawa, Wazee WA UFAFANUZI wameshatoa UFAFANUZI kuwa umbali wa kutoka Ethiopia Hadi Same ni mfupi kuliko Mwalimu Nyerere Hydro Power pale Rufiji Hadi Same View attachment 3264882View attachment 3264881
-Umbali wa kutoka Rufiji mpaka Kilimanjaro (ambao wastani wa km 560) ni mrefu zaidi kuliko umbali wa kutoka Ethiopia mpaka Kilimanjaro (ambapo ni wastani wa km 1400). Huko serikalini kuna watu ni wajinga na wapumbavu kupita maelezo.
-Bwawa la Nyumba ya Mungu ambalo linazalisha umeme wa kutosha na kuingizwa kwenye gridi ya taifa liko mkoani Kilimanjaro na Manyara (umbali wa kusafirisha umeme kuleta mkoa wa Kilimanjaro ni km 0) limeshindwa kusambaza umeme mkoa wa Kilimanjaro, Manyara na Arusha mpaka hivyo inabidi tukanunue umeme kutoka Ethiopia kwa kuwa ni karibu zaidi!!
CCM na serikali yake ni LAANA.