Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
- Thread starter
- #81
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani tuna umeme wakutosha na kuuza nje, sasa tukanunue umeme nje wa nini?Naona kama wanamake sense.
Yea tununue tu.
Sema nn tuhakikishe tu tunaouza unakuwa mwingi kuliko tunaonunua. Ni mchezo wa hesabu tu. Tunaupiga mwingi
WA Sisi kutumiaYaani tuna umeme wakutosha na kuuza nje, sasa tukanunue umeme nje wa nini?
Umeelewa ufafanuzi wa serikali?Kituko!
Kutoka Moshi hadi Ethiopia kunakozalishwa umeme ni kilomita 1400Stiglers na Ethiopia wapi mbali zaidi?
Mabwawa ya Nyumba ya Mungu, Hale na Pangani yanapeleka wapi umeme
Mkuu hilo swali la kwanza hutokaa upate majibu kamwe. Zaidi utaishia kutekwa wakiona unauliza sana.Stiglers na Ethiopia wapi mbali zaidi?
Mabwawa ya Nyumba ya Mungu, Hale na Pangani yanapeleka wapi umeme
😆🤣Sikuwahi kuamini wanawake ni wapigaji
Kuna mambo kwenye hii nchi ukiyafikiria sana utaumwa kichwaKutoka Moshi hadi Ethiopia kunakozalishwa umeme ni kilomita 1400
Na kutoka Rufiji umeme unatoka bwawa la Nyerere hadi Moshi ni kilomita 735
Hizo hesabu za Tanesco za ufafanuzi sijazielewa kwa kweli
Mkuu umesababu vizuri sana,inamaana huko kaskazini huo umeme wananchi wanapewa bure? Na hizo nchi utakakokuwa unauzwa umeme utaenda bila kupotea kutokana na umbali? Majirani zetu ndio hao Uganda,Kenya,Ethiopia na Zambia wanatuuzia kwaiyo sisi tutamuuzia msumbiji na Malawi pekee walio karibu? Maana Congo,Rwanda na Burundi wapo mbali kuliko hapo kaskazini!In Abundance of Water a Fool is Thirsty....
Kwamba Ethiopia wameweza kuleta Umeme mpaka huku bila kupata huo upotevu ambazo sisi tunapata kwa kusambaza mpaka pale tu ?!!!
Na zile pesa alizotumia Makamba akiwa anasuka mfumo Upya alikuwa anasuka nini Nywele ?
Na tunapopanga kuuza nje tutakuwa tunauza na kusafirisha vipi bila huo upotevu unaopatikana sasa ?
This is insulting our intelligence..., hata kama kuna upotevu ni through incompetence kama nje wanauza kwa bei rahisi basi tufunge uzalishaji tununue kabisa zote kutoka nje..., hii ndio pakacha linavuja badala ya kuliziba unaongeza juhudi ya kulijaza....
Umbali wa kutoka JNHEPP mpaka Kaskazin, unalingana na kutoka Ethiopia kuja Kasikazin Mwa Tanzania?Ndugu zangu Watanzania,
Serikali yetu tukufu chini ya uongozi mahili,imara ,madhubuti ,shupavu na wenye kuleta matumaini kwa watu wa Dkt Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Kupitia msemaji mkuu wa serikali Mheshimiwa Gerson Msigwa Imetoa ufafanuzi wa kina wa sababu ya kununua umeme Nje ya Nchi kwa ajili ya kanda ya kaskazini.
Soma hapa👎View attachment 3264895View attachment 3264896
Naam kama kawa kama dawa, Wazee WA UFAFANUZI wameshatoa UFAFANUZI kuwa umbali wa kutoka Ethiopia Hadi Same ni mfupi kuliko Mwalimu Nyerere Hydro Power pale Rufiji Hadi Same
Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
View attachment 3264882View attachment 3264881
Umeongea mkuu.Mpaka sasa hakuna sababu za msingi za kununua umeme wowote kutoka nje ili kuleta mikoa ya Kaskazini. HAKUNA.
Kama sababu ni umbali, Ethiopia ni mbali mnoo kuliko Rufiji.
Kama sababu ni unafuu, huwezi kulinganisha umeme wetu wa bure (tunaouzalisha sasa mpaka hatuna pa kuupeleka) dhidi ya umeme tutakaoununua kutoka nje kwa bei yoyote.
Mwisho wa yoyote, walikuwa wapi kuuleta huo umeme wa Ethiopia (wa bei nafuu na uhakika) wakati wote tulipokuwa tunapitia msoto wa mgao wa umeme kwa sababu ya upungufu wa uzalishaji kabla ya kukamilika bwawa la Nyerere?, na kwanini haukuwa umeme mbadala wa ule umeme wa mitambo ya gesi tuliokuwa tunaununua kwa gharama kubwa?