Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu Tanzania kupanga kununua umeme nchini Ethiopia

Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu Tanzania kupanga kununua umeme nchini Ethiopia

In Abundance of Water a Fool is Thirsty....

Kwamba Ethiopia wameweza kuleta Umeme mpaka huku bila kupata huo upotevu ambazo sisi tunapata kwa kusambaza mpaka pale tu ?!!!

Na zile pesa alizotumia Makamba akiwa anasuka mfumo Upya alikuwa anasuka nini Nywele ?

Na tunapopanga kuuza nje tutakuwa tunauza na kusafirisha vipi bila huo upotevu unaopatikana sasa ?

This is insulting our intelligence..., hata kama kuna upotevu ni through incompetence kama nje wanauza kwa bei rahisi basi tufunge uzalishaji tununue kabisa zote kutoka nje..., hii ndio pakacha linavuja badala ya kuliziba unaongeza juhudi ya kulijaza....
 
Upuuzi.

B32 kwa Mwaka Kusini Mashariki kwenda Kaskazini, kununua umeme unaotoka Ethiopia kwenda Kenya kwenda Tanzania itakua chini ya B32 kwa Mwaka ?

Ni wazi hii ni Plan ya watu wachache wenye lengo la kuwaibia wanyonge 🗑️
 
Stiglers na Ethiopia wapi mbali zaidi?
Mabwawa ya Nyumba ya Mungu, Hale na Pangani yanapeleka wapi umeme
Ethiopia Karibu sana,huwezi linganisha na RUFIJI,wataalamu kutoka CCM wapo saww kabisa
 
Attachments

  • Screenshot_20250309-203711.png
    Screenshot_20250309-203711.png
    598.4 KB · Views: 2
  • Screenshot_20250309-203741.png
    Screenshot_20250309-203741.png
    528.3 KB · Views: 1
Mpaka sasa hakuna sababu za msingi za kununua umeme wowote kutoka nje ili kuleta mikoa ya Kaskazini. HAKUNA.

Kama sababu ni umbali, Ethiopia ni mbali mnoo kuliko Rufiji.
Kama sababu ni unafuu, huwezi kulinganisha umeme wetu wa bure (tunaouzalisha sasa mpaka hatuna pa kuupeleka) dhidi ya umeme tutakaoununua kutoka nje kwa bei yoyote.

Mwisho wa yoyote, walikuwa wapi kuuleta huo umeme wa Ethiopia (wa bei nafuu na uhakika) wakati wote tulipokuwa tunapitia msoto wa mgao wa umeme kwa sababu ya upungufu wa uzalishaji kabla ya kukamilika bwawa la Nyerere?, na kwanini haukuwa umeme mbadala wa ule umeme wa mitambo ya gesi tuliokuwa tunaununua kwa gharama kubwa?
 
Yaani kwamfano tunanunua unit kwa shilingi 10 huko Ethiopia sisi tunautumia huo halafu huu wa kwetu ghali tunauza nje unit moja 100
Tayari tushamake hela ya kutosha

😅😅
Na kila Mtanzania atakua na umeme wa kutosha
 
Mpaka sasa hakuna sababu za msingi za kununua umeme wowote kutoka nje ili kuleta mikoa ya Kaskazini. HAKUNA.

Kama sababu ni umbali, Ethiopia ni mbali mnoo kuliko Rufiji.
Kama sababu ni unafuu, huwezi kulinganisha umeme wetu wa bure (tunaouzalisha sasa mpaka hatuna pa kuupeleka) dhidi ya umeme tutakaoununua kutoka nje kwa bei yoyote.

Mwisho wa yoyote, walikuwa wapi kuuleta huo umeme wa Ethiopia (wa bei nafuu na uhakika) wakati wote tulipokuwa tunapitia msoto wa mgao wa umeme kwa sababu ya upungufu wa uzalishaji kabla ya kukamilika bwawa la Nyerere?, na kwanini haukuwa umeme mbadala wa ule umeme wa mitambo ya gesi tuliokuwa tunaununua kwa gharama kubwa?
Hii unaikumbuka?
IMG-20250309-WA0069.jpg
 
Back
Top Bottom