Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣Kama shida ni upotevu wa Umeme Ethiopia kawezaje kuuleta Kenya bila upotevu?
Ethiopia Karibu sana,huwezi linganisha na RUFIJI,wataalamu kutoka CCM wapo saww kabisaStiglers na Ethiopia wapi mbali zaidi?
Mabwawa ya Nyumba ya Mungu, Hale na Pangani yanapeleka wapi umeme
Na kuna Kituo kinajengwa kuzalisha umeme wa jua pia, sijui ni simiyu, sikumbukiSame pale kuna upepo wa kutosha kuweza kuzalisha umeme. 😇
Yaani kwamfano tunanunua unit kwa shilingi 10 huko Ethiopia sisi tunautumia huo halafu huu wa kwetu ghali tunauza nje unit moja 100Hizi hesabu zinaitwa multiplication ❌
Sikuwahi kuamini wanawake ni wapigaji
Ngoja ninywe maji kwanza nisije nikakabwa!Stiglers na Ethiopia wapi mbali zaidi?
Mabwawa ya Nyumba ya Mungu, Hale na Pangani yanapeleka wapi
KabisaTukimaliza tunasubiri Daku
Na kila Mtanzania atakua na umeme wa kutoshaYaani kwamfano tunanunua unit kwa shilingi 10 huko Ethiopia sisi tunautumia huo halafu huu wa kwetu ghali tunauza nje unit moja 100
Tayari tushamake hela ya kutosha
😅😅
Sikuwahi kuamini wanawake ni wapigaji
Mwaka huu wataua wengi Sana
UpuuziNaam kama kawa kama dawa, Wazee WA UFAFANUZI wameshatoa UFAFANUZI kuwa umbali wa kutoka Ethiopia Hadi Same ni mfupi kuliko Mwalimu Nyerere Hydro Power pale Rufiji Hadi Same
Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
View attachment 3264882View attachment 3264881
Ethiopia Karibu sana,huwezi linganisha na RUFIJI,wataalamu kutoka CCM wapo saww kabisa
Kabisa wakati huo na sisi tunafanya biashara ya kuuza umeme huko nje..Na kila Mtanzania atakua na umeme wa kutosha
Hii unaikumbuka?Mpaka sasa hakuna sababu za msingi za kununua umeme wowote kutoka nje ili kuleta mikoa ya Kaskazini. HAKUNA.
Kama sababu ni umbali, Ethiopia ni mbali mnoo kuliko Rufiji.
Kama sababu ni unafuu, huwezi kulinganisha umeme wetu wa bure (tunaouzalisha sasa mpaka hatuna pa kuupeleka) dhidi ya umeme tutakaoununua kutoka nje kwa bei yoyote.
Mwisho wa yoyote, walikuwa wapi kuuleta huo umeme wa Ethiopia (wa bei nafuu na uhakika) wakati wote tulipokuwa tunapitia msoto wa mgao wa umeme kwa sababu ya upungufu wa uzalishaji kabla ya kukamilika bwawa la Nyerere?, na kwanini haukuwa umeme mbadala wa ule umeme wa mitambo ya gesi tuliokuwa tunaununua kwa gharama kubwa?
.Naam kama kawa kama dawa, Wazee WA UFAFANUZI wameshatoa UFAFANUZI kuwa umbali wa kutoka Ethiopia Hadi Same ni mfupi kuliko Mwalimu Nyerere Hydro Power pale Rufiji Hadi Same
Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
View attachment 3264882View attachment 3264881