Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,513
Black siliishamuharibu akiri huyo mtu kitambo.Tupe ripoti ya wataalamu wa tume iliyoundwa na waziri mkuu kwenye janga la moto wa lorry huko Morogoro. Huyo waziri Mkuu ni tapeli aliyerasimishwa.
Kazi ya Polisi kitengo cha fire ni nini sasa? kuna wataalamu wa mambo ya moto zaidi ya hao nchi hii?Kamati ni mjumuiko wa vyombo mbalimbali,vinavyopaswa kufuatilia kujua nini kimetokea,,
Unaweza kuita vyovyote unavyotaka,kamati,chama,jumuia,kikundi,etc
Tunajenga LISANAMU tunatemberea mavieteeeMajanga yatakuwepo tuu hata chanzo kikijulikana na ndio maana kuna kitengo cha Zimamoto
Sasa tunahitaji zimamoto watueleze huwa wanakwama wapi!?
Kuna mahali huyo RC alisema moto umeanza saa 3:30 usiku, hapa naona post inasema saa 1 na clip imetupiwa 3:10 usikuMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla akiwa soko kuu la Kariakoo, amesema serikali imeunda tume ya watu kumi kuchunguza na kupata ukweli wa chanzo cha moto na athari zilizopatikana ikiwemo mali zilizoteketea, pia amesema Waziri mkuu yuko njiani kuja kukagua na kuongea na wafanyabiashara na umma kwa ujumla.
Now ni rc thobias andengenyaKuna yule Kamishna Mkuu wa Zimamoto aliwahi kutumbuliwa enzi za JPM kwa tuhuma za kusaini mkataba aghali wa vifaa vya Zimamoto saa hizi atakuwa anachekelea tumboni. Alidhalilishwa sana kama mnakumbuka japo kwa sasa nadhani ana kau- RC sijui wapi huko...
Hata Mrema na Lipumba wako kwenye list ya wapinzani.Mbatia ni mpinzani tangu lini?
Tunajenga LISANAMU tunatemberea mavieteee
Kamati kamati kamati...per diems
KAMATI YA NINI SASA WAKATI KILA KITU MNAFANYA NI SIASA