Serikali yawatelekeza wanafunzi 29 Ukraine

Haw njamaa hawaoni tatizo kwani wanajua kabisa kwamba watanzania waliowengi wataendelea kuwapigia CCM kura kwani wapo tayari kuona watoto wao wakifa kwa kukosa dawa ila chama chao kisiondoke madarakani.

Watanzania ni watu ambao hawajitambui ndio maana hata hili swala kwao sio issue provided kuwa hakuna mtoto wake direct hawaoni tatizo.
 
MKJJ

Nimeweka petition huko kuunga mkono juhudi zako. Nawatakia waTz hawa waliopo Ukrane kila la kheri.
 
ukraine2.jpg

NGUVU MPYA ARI MPYA WAKO WAPI?
 
Michuzi Blog kaweka picha na amesema serikali imesema haiwatambui. Hivi kweli mtoto akikimbia nyumbani na wewe ndio baba unataka aende wapi? Naona itachukua sura nyingine BBC na SKY wakianza kuiweka ngoja nianze kuvuta kamba.
 
ccm nani kakwambia imewekwa kwa kura za walalahoi? kuna mmoja alisema akipiga yeye na mkewe basi inatosha? unakumbuka? kwa hiyo lazioma wawe na kiburi
wenyewe wanasema tunatesaaaaaaaaaaaa, au tunawatesaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
tufanye pia habari zirushwe bbc, sauti ya ujerumani, na hata sauti ya amerika hadi kieleweke
 
MHHH
KWA NINI UNAPATA TAABU?
DAWA KUWAPIGIA SIMU HAO SKY NEWS halafu hao akina BBC watafuata MKUMBO tuuu jamaa kila siku wanahangaika kutafuta stori sasa taabu ni nini?
 
Ninahabari za kusikitisha zaidi kutoka Ukraine...!Ubalozi wa UK leo umefunga kazi mapema kutokana na mapumziko ya siku nne. Kutokana na jibu walilopewa na serikali jana, Ubalozi huo umejitolea kuwalipia tiketi za kurudi hadi vyuoni ili kusubiri hatima yao kwani wao (ubalozi) unashindwa kufanya lolote zaidi kwa wakati huu. Vijana walitaka kuendelea kukaa hapo nje lakini kwa Ubalozi umewasihi warudi vyuoni na watawaombea wasifukuziwe mitaani kwani hali ya usalama wao pale siyo nzuri. Kabla vijana hawajaondoka na mara baada ya ubalozi kufungwa, vijana wawili wameshambuliwa na kujeruhiwa na "skinheads" (vijana weupe wanaopinga watu wa rangi nyingine) ambao walikuwa wameanza kuwasumbua na kuwanyanyasa siku mbili zilizopita nusu saa iliyopita vijana hao wawili wamekimbizwa hospitali wakiwa wamepoteza fahamu. Kijana mmoja ameporwa kamera yake, na wengine waliobakia sasa wamechanganyikiwa na hawajui kama waondoke na kurudi vyuoni au wasubiri hatima ya wenzao. Hawajui waombe msaada wapi.

Kati ya mambo yote niliyoyahofia kutokea ni jambo kama hili. Ndugu zangu msije kusikia habari mbaya sana kutoka Ukraine, leo au mwishoni mwa juma hili.
 
Nawapa Pole sana ,Hivi hao walinzi wa hizo balozi walikuwa wanafanya nini wakati vijana wanashambuliwa?Kwani tuliwahi kuelezwa hapa kwamba vijana wapo kwenye hali ya usalama hasa ukizingatia ulipo Ubalozi wa UK vile upo Ubalozi wa USA.Sasa nini kimejiri tena?
 
yah msisahau kuwa hayo yote yanawakuta WAKIMBIZI kama hao vijana

ni kawaida hiyo kwa wakimbizi kukuta na majanga kama hayo.

HIVI HAO SKY NEWS bado hawajaipata tuu?
 
Mwanakijiji!
Ninashindwa kujizuia kwani ninaelewa madhara ya kipigo cha SKINHEADS wa hizo Nchi za Kisoviet za zamani wakikupatia kipigo ni kifo na ukinusurika nacho ni kilema cha Maisha.Mifano Halisi ninayo!
Tafadhali Mwanakijiji naomba ujaribu kuwapigia hao wafadhili wa kibongo tuombe msaada angalau wa tiketi vijana warudi nyumbani .Maisha ya mwanadamu yakipotea hayana wakuyarudisha.Tafadhali naomba redio yako itusaidie ktk hili pamoja na kwamba umeshafanya msaada mkubwa na unaendelea kutoa msaada huo.
 
Hii inadhihilisha yote tuliyokua tukiyasema all along ni kweli kuhusu viongozi wetu,hawajari na hawatojari.
Watoto wao hawapo hapo na hawana sababu ya ku-act haraka.watoto wakimasikini ambo kwa sababu ya u- naive wao wanadhani serikari yao itawasaidia.
MKjj,alisema ni muda muafaka wa kufanya kitu kwa ajiri ya hao watoto vinginevyo tutawapoteza.
Sio kwa sababu ya lolote,tufanya kwa sanbabu ya Utanzania wetu na Ubinadamu jamani.tufikiri vipi ytuna weza unga nguvu kwa Mkjj hao kwa analofikiri trunaweza kufanya haraka.
 
Ninahabari za kusikitisha zaidi kutoka Ukraine...!Ubalozi wa UK leo umefunga kazi mapema kutokana na mapumziko ya siku nne. Kutokana na jibu walilopewa na serikali jana, Ubalozi huo umejitolea kuwalipia tiketi za kurudi hadi vyuoni ili kusubiri hatima yao kwani wao (ubalozi) unashindwa kufanya lolote zaidi kwa wakati huu. Vijana walitaka kuendelea kukaa hapo nje lakini kwa Ubalozi umewasihi warudi vyuoni na watawaombea wasifukuziwe mitaani kwani hali ya usalama wao pale siyo nzuri. Kabla vijana hawajaondoka na mara baada ya ubalozi kufungwa, vijana wawili wameshambuliwa na kujeruhiwa na "skinheads" (vijana weupe wanaopinga watu wa rangi nyingine) ambao walikuwa wameanza kuwasumbua na kuwanyanyasa siku mbili zilizopita nusu saa iliyopita vijana hao wawili wamekimbizwa hospitali wakiwa wamepoteza fahamu. Kijana mmoja ameporwa kamera yake, na wengine waliobakia sasa wamechanganyikiwa na hawajui kama waondoke na kurudi vyuoni au wasubiri hatima ya wenzao. Hawajui waombe msaada wapi.

Kati ya mambo yote niliyoyahofia kutokea ni jambo kama hili. Ndugu zangu msije kusikia habari mbaya sana kutoka Ukraine, leo au mwishoni mwa juma hili.
Ni wapi kati ya vijana hao waliopo kwenye Picha wamepatwa na mkasa huo?
Vyama vya upinzani vinafanya nini? kwaninin wasijaribu angalau kuwanunulia tiketi hao vijana kutoka kwenye vyanzo vyao vya fedha kuonyesha wao wapo tofauti na watawala au hilo nalo wanangoja mwalimu kutoka ughaibuni?
 
yah msisahau kuwa hayo yote yanawakuta WAKIMBIZI kama hao vijana

ni kawaida hiyo kwa wakimbizi kukuta na majanga kama hayo.

HIVI HAO SKY NEWS bado hawajaipata tuu?

i can not beliave this is what you have to say,i always hold you at high regards but i am sorry to tell you i now regrets.
Hao watoto sio wakimbizi na hawakwenda pale kwa ajiri ya kuomba Asylum,wameenda kushinikiza serikari yao kuwasaidia.
Unajua kuna kitu hapa hatukioni,Kama hawa watoto wameshafanya kwenda barozi ya UK,first think balozi anchofanya ni kuwasiriana na mamlaka yetu(TZ GVNTmnt) lazima watakua wamewaambia wasiwasikirize kwa lolote kwani ni kama kuichafua serikari kwani hiyo ni skendo kweny Internation community eye with all the misaada tunayopata kwa sector hiyo ya elimu alafu leo watoto wanaomab msaada kwenye serikali nyingine?
Alafu utawala wa UK mna wakwetu ni ule ule kama wana weza kuficha habari za Rada watashindwa kuficha watoto 29 wakiuwawa na redskin?
 
...and yet Tanzania inaambiwa ni nchi yenye amani na utulivu, nchi inayoheshimu haki za binadamu na utawala bora..nilidhani hata hao wanaozunguka nchi kukusanya maoni/malalamiko ya wananchi kuhusiana na ukiukwaji wa haki za binadamu wangelionahili..as a result WATANZANIA wanapigwa na skinheads wakati wakijaribu kutafuta haki zao...OOOh Lord!
 
Hawapo Makini ktk maamuzi yao.Hivi Mh. Rais na Mh. Waziri Mkuu wangesimamisha ziara zao kwenye hiyo mikoa wanayotembelea sasa hivi na gharama ya safari zao hizo zikawakatia tiketi hao wanafunzi kurudi nyumbani na kutafuta njia nyingine ya kupatiwa Elimu si ingekuwa Bora sana kuliko hizo ziara zao.
 
Back
Top Bottom