Sasa hiki ulichojibu hapa na ukichoandika mwanzo vinaendana kweli?Hawezi.
Kwani Magu ni Mungu?
Wewe tulia utasikia maskendo mkubwa kama ya Richmond's na 1.5trilioni.
Tatizo mataga mapambio mengi hadi unapishan na data. Huna data wewe Kazi kuimba tu
Mbona Mbowe kawatumbua Lwakatare na Komu?!Zama za wizi kusifu na kuabudu. Usiposifia unatumbuliwa
Bwashee biashara ni sayansi!Kigogo2014 alilisema hili swala.
Naona kifo cha NMB na CRDB maana Taasisi na Mashirika yote yataelekezwa yatumie TCB
Mataga huna data.Sasa hiki ulichojibu hapa na ukichoandika mwanzo vinaendana kweli?
Bwashee biashara ni sayansi!
Wale walifukuzwa na Kamati.mataga hata kuangalia you tube umeshindwa Kikao kilikuwa live. Hii ni tofauti na Meko akiamka tu au akiambiwa n bashite mfukuze huyu Basi anafukuza bila sababuMbona Mbowe kawatumbua Lwakatare na Komu?!
Huyu anapayuka tu porojo nyingi hajui kitu.Hii sio Sayansi
Subiri uone matokeo ya Tpb kummeza TIB!Hii sio Sayansi
Endelea kukariri......sisi tunachanja mbuga!Huyu anapayuka tu porojo nyingi hajui kitu.
Subiri uone matokeo ya Tpb kummeza TIB!
Nikweli kabisaTulikuwa tunajua toka zamani. Ni mpango w Magu kuiba pesa ndefu. Na tender nyingi zitakuwa zinapitia hapo.
Crooks are leading the country what do you expect?
Hata NMB hawatalipa salary tena. Hii bank ndio italipa . mtegemee vipigo kwa lend mbele. Doto ndio master mind akipoke maelekezo from Chato regime
Mataga wanabisha bisha hapaNikweli kabisa
Inachanja mbuga bwashee.Kwani TTCL imekuwaje
Benki inayokufa iachwe ife tu.Serikali imeziunganisha benki ya posta TPB na Benki ya rasirimali TIB Corporate na kuwa benki moja ya biashara.
Msajili wa hazina amesema kwa sasa madeni na mali za TIB corporate yanahamishiwa TPB.
Lengo la Serikali ni kuwa na benki moja kubwa ya biashara yenye nguvu za kiushindani.
Wateja wote wataendelea kuhudumiwa na matawi yao ya sasa hadi hapo watapoelekezwa vinginevyo.
Maendeleo hayana vyama!
Haya ni maono ya muda mrefu!Benki inayokufa iachwe ife tu.
Hakuna haja ya kuifufua kwa migongo ya benki nyingine.
Hamna tofauti na alivyounganisha mifuko ya hifadhi ya Jamii....Ule ulikuwa ipigaji mwengineMataga wanabisha bisha hapa
Inachanja mbuga bwashee.
Lakini TCB ina wateja wakubwa kabisa wa kuanza nao ikiwemo serikali na wafanyakazi wake wote.
Taasisi za serikali na mashirika yake
Bunge na wabunge
Vyama vya siasa...... nk..nk