Ametakiwa avirudishe haraka huko Ubelgiji (? kwa Tundu) alikovitoa. Gharama ya kuvirudisha ni kubwa na wabeligiji wanaweza kukataa kuvipokea kwani vimekuwa contaminated na watanzania. Hivyo akishindwa kuvirudisha haraka itabidi vichomwe moto.
Nchi inayo dira na mwelekeo thabiti hasa linapohusu usalama na uhai wa raia wake. Hivi vifaranga elfu 62 vinaweza kuangamiza uhai wa maelfu ya watanzania.
Haifungulii nyoka, panya, virusi vya ebola, mafua makali ya ndege na takataka zingine kama hizo.
Kufanya serological antibody elisa tests, antigen and genetic DNA tests ya kila kifanga kwa vifanga vyote hivyo, gharama yake inazidi thamani ya hivyo vifaranga and it is a tideus job. Na inazidi kwa mbali gharama ya kuvirudisha. Wewe unadhani vinapimwa kwa kuangaliwa tu kwa macho?