Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 5,119
- 4,569
Pole mkuu, sikujua elimu yako. Unajua kwenye jukwaa hili wapo wengi wanaodhani vipimo vya kisayansi ni raisi kama vile vya waganga wa kienyeji.Ulikuwa umenijibu vizuri tu ila hapa sijui ulifikilia nini,kweli kabisa unadhani mimi na elimu yangu nilifikiri vitapimwa kwa macho ?