Dr Akili JF-Expert Member Joined Aug 21, 2011 Posts 5,119 Reaction score 4,569 Dec 25, 2022 #81 Basi Nenda said: Ulikuwa umenijibu vizuri tu ila hapa sijui ulifikilia nini,kweli kabisa unadhani mimi na elimu yangu nilifikiri vitapimwa kwa macho ? Click to expand... Pole mkuu, sikujua elimu yako. Unajua kwenye jukwaa hili wapo wengi wanaodhani vipimo vya kisayansi ni raisi kama vile vya waganga wa kienyeji.
Basi Nenda said: Ulikuwa umenijibu vizuri tu ila hapa sijui ulifikilia nini,kweli kabisa unadhani mimi na elimu yangu nilifikiri vitapimwa kwa macho ? Click to expand... Pole mkuu, sikujua elimu yako. Unajua kwenye jukwaa hili wapo wengi wanaodhani vipimo vya kisayansi ni raisi kama vile vya waganga wa kienyeji.
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 17,080 Reaction score 33,076 Dec 25, 2022 #82 Msivichome moto tukaendelea kupata laana nikisikia habari za vifaranga najua wapenda sifa wasiokua na hofu ya Mungu watatoa adhabu ya Moto...
Msivichome moto tukaendelea kupata laana nikisikia habari za vifaranga najua wapenda sifa wasiokua na hofu ya Mungu watatoa adhabu ya Moto...
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,774 Reaction score 47,866 Dec 25, 2022 #83 Dr Akili said: Pole mkuu, sikujua elimu yako. Unajua kwenye jukwaa hili wapo wengi wanaodhani vipimo vya kisayansi ni raisi kama vile vya waganga wa kienyeji. Click to expand... Pamoja sana Mkuu, nimeelewa
Dr Akili said: Pole mkuu, sikujua elimu yako. Unajua kwenye jukwaa hili wapo wengi wanaodhani vipimo vya kisayansi ni raisi kama vile vya waganga wa kienyeji. Click to expand... Pamoja sana Mkuu, nimeelewa
mpondamali JF-Expert Member Joined Sep 5, 2011 Posts 501 Reaction score 176 Dec 28, 2022 #84 Mbona hii ishu imekaliwa kimya...vp vimeshatolewa hapo AIRPORT??