Serikalini watu tunaishi kwa kuiba; huu ndo ukweli

Bila wizi hii mishahara tusingeweza kufanya jambo lolote

Ndo maana walimu wanalia Sana ni kwa sababu hawana sehemu ya kuokota .

Hakuna MTU ambaye haibi wala kupiga dili .
Yaani umeongea ukweli. Wafanyakazi wengi ambao siyo waalimu ni mafisadi 100%. Waalimu wote kuanzia shule ya msingi mpaka chuo hawana vya kuiba.
 
Ukiona MTU analalamika ni kwakuwa Asali haijamfikia
Hiyo attitude yako inashida...Kuna watu asali zinawabubujikia lakini bado wanaona kuwa ni short lived kwakua hawezi kuwa kama kisiwa na pia unawaumiza wengi wakiwa hawana hiyo asali wakati wewe inakumwagikia tena bila kulazimisha
 
Unataka serikali ikushukuru vipi? Wewe sio ndugu au mjomba wa serikali, unachotakiwa ni kutimiza majukumu yako kwa weledi na uaminifu ambapo mwisho wa mwezi unalipwa mshahara kwa kodi za Watanzania.
 
nilaajiriwa serikalini nikaona kama ulivyoona..sitoboi bila kupiga...nkakopa kopa nkapita vile....baada ya miaka kumi nikarudi nkapita na nssf.... nakula pension...kama hujazoea kupiga hutoboi au utateseka sana...
 
Sio wote waizi lakini
Ni hulka ya mtu na ukaribu wa watu ulionao
Kama utakuwa na majizi nawe utaiba
Malezi mabaya yanachangia na society yetu pia
Wala sio mishahara, mbona wenye vipato vikubwa ndio vinara wa kuiba? Wana shida gani hao?
Ni tabia zenu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ