Serious man needed baadae awe mume

Serious man needed baadae awe mume

Nikweli wanawake wote wanaokuja kutafua wanaume humu hulenga kupata wanaume wenye elimu kubwa wakiamini ndio wenyemaisha mazuri. Kuna mmoja alionekana kweli anania ya kuolewa lakini nilipokuwa muazi kumwambia ukweli kiwango cha elimu yangu hakupokea simu yangu tena
Duuh pole sana mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nikweli wanawake wote wanaokuja kutafua wanaume humu hulenga kupata wanaume wenye elimu kubwa wakiamini ndio wenyemaisha mazuri. Kuna mmoja alionekana kweli anania ya kuolewa lakini nilipokuwa muazi kumwambia ukweli kiwango cha elimu yangu hakupokea simu yangu tena

tehe tehe tehe pole, huyo hakuwa wako
 
Habari zenu wote.. Ikiwa imetimia mwaka mmoja bila kuwa na mahusiano tangu niachane na mwanaume ambae nilimfumania na rafiki yangu na kupelekea kuachana nimeamua sasa kuingia rasmi kwenye relationship na mwanaume naemuhitaji kwanza;
1.Awe mchamungu
2.awe mpole kiasi
3.awe tayari kupima
4.awe na elimu ya juu kidogo kuliko maana mm Nina diploma
5. Mrefu kiasi mweupe kiasi au maji ya kunde asiwe mweusi sana
6. Awe anajielewa Mwenye future, vision na awe na Kazi inayomwingizia kipato
7. Miaka 28-35
8. Awe tayari kutofanya mapenzi mpaka tufunge ndoa au mpaka nitakapojiridhisha kwamba yeah he deserves to be my future hubby.
Mwisho wa yote awe na mapenzi ya dhati na ambae atajifanya analeta janjajanja asijisumbue Kabisa ..
Sifa zangu mom
1. Maji ya kunde
2. Elimu diploma
3. Nimeajiliwa
4. Dini muislam

Pm kwa maelezo zaidi

N:B Asiyekunywa pombe
dada hujielewi wewe kwani ukimpata mtu kama huyo kutakuwa na furaha ya maisha....Acha kujifanya wewe ni mkamilifu sana kama vile umejiumba mwenyewe Mheshim Mwenyezi Mungu aliekupa nafasi ya kuishi duniani hapa...
 
Sana tu best. Kunaa baadhi wanataka kuonekana wameoa, kumbe hawana function yoyote ktk maisha ya ndoa. Mifano mnayo na Gwajima kawatajia kabisa. Ndio anachokitaka huyu mleta mada.

Weehh mfano sikuskia uo wa gwajima ni nani uyo..!?
 
Habari zenu wote.. Ikiwa imetimia mwaka mmoja bila kuwa na mahusiano tangu niachane na mwanaume ambae nilimfumania na rafiki yangu na kupelekea kuachana nimeamua sasa kuingia rasmi kwenye relationship na mwanaume naemuhitaji kwanza;
1.Awe mchamungu
2.awe mpole kiasi
3.awe tayari kupima
4.awe na elimu ya juu kidogo kuliko maana mm Nina diploma
5. Mrefu kiasi mweupe kiasi au maji ya kunde asiwe mweusi sana
6. Awe anajielewa Mwenye future, vision na awe na Kazi inayomwingizia kipato
7. Miaka 28-35
8. Awe tayari kutofanya mapenzi mpaka tufunge ndoa au mpaka nitakapojiridhisha kwamba yeah he deserves to be my future hubby.
Mwisho wa yote awe na mapenzi ya dhati na ambae atajifanya analeta janjajanja asijisumbue Kabisa ..
Sifa zangu mom
1. Maji ya kunde
2. Elimu diploma
3. Nimeajiliwa
4. Dini muislam

Pm kwa maelezo zaidi

N:B Asiyekunywa pombe
Mimi nina sifa namba 1,3,6,7 and 8 Plus 2 children🙂🙂🙂
 
dada hujielewi wewe kwani ukimpata mtu kama huyo kutakuwa na furaha ya maisha....Acha kujifanya wewe ni mkamilifu sana kama vile umejiumba mwenyewe Mheshim Mwenyezi Mungu aliekupa nafasi ya kuishi duniani hapa...
Kwani huwez kucomment kistaarabu mpaka matus??ukiona Uzi sio wa sifa zako pita kimyakimya ndugu yangu sio lazma ucomment utumbo
 
Shida iko hapo sasa! Badala ya kutatua tatizo unaliongeza. [emoji31] [emoji31] [emoji31] . "Shake well before use" ni muhimu sana. Dunia imeharibika hii
[emoji134] [emoji134] [emoji134] tatizo ni who u are shaking with ndo maana nimesema mpaka nijiridhishe kuna signs nyingi za kujua Kuwa huu uhusiano una future ndo hapo unapoweza kujaribu Kama yaliyomo yamo sio kukurupuka kisa umeambiwa , Shake well before use mwanamke kujitambua lazma
 
Back
Top Bottom