The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Kheee Kheeee KheeeelHIVI KUANZIA LINI WAKASKAZN WAKAWA NA UTANI NA WAKUSINI? maana ckuelewi lizzy.KWANZA NI BORA 2PGE KURA YA MAON TUJITENGE TU,WAKUSIN WAWE KUSINI NA WALE WA KASKAZN WAWE HUKOHUKO!
mtumie bana, chakachua jiografia yako atlas si unalo?Kwangu hawezi...ameshanipa waning!
Mimi namwambia lizzy ajilipue kwa mshikaji yeye hatakimtumie bana, chakachua jiografia yako atlas si unalo?
Cha ajabu Mage naye ali-comment kwenye hii thread kabla hajaanzisha ya kwake khee kheee kheeeMtafute yule Mage wa kwenye ile thread nyingine anayetafuta Mume, naamini mtaelewana tu maana shida zenu zinafanana
unafanya kazi NECTA nini?
kwa ninavyomuelewa lizzy anasubiri ushauri wa michelle na michelle wenyewe bomu. dah! imekula kwa lizzy semester hiiMimi namwambia lizzy ajilipue kwa mshikaji yeye hataki
lHIVI KUANZIA LINI WAKASKAZN WAKAWA NA UTANI NA WAKUSINI? maana ckuelewi lizzy.KWANZA NI BORA 2PGE KURA YA MAON TUJITENGE TU,WAKUSIN WAWE KUSINI NA WALE WA KASKAZN WAWE HUKOHUKO!
dah! hii ni shutma nzito. mkuu taratibu invizibo wenyewe habari zisizo rasmi zinasema anatokea North, usje ukapigwa ban for geographical callingNaogopa wa kaskazn kwan hawakawii kukugeuza "raw material"
Cha ajabu Mage naye ali-comment kwenye hii thread kabla hajaanzisha ya kwake khee kheee kheee
Mimi namwambia lizzy ajilipue kwa mshikaji yeye hataki
Ushauri nimeshapokea!Kipaumbele anapewa V ila kuna B nae ana nafasi!kwa ninavyomuelewa lizzy anasubiri ushauri wa michelle na michelle wenyewe bomu. dah! imekula kwa lizzy semester hii
Halafu mbona jamaa hatupi fidibaki yaani sredi imefika page ya kumi hamna fidibaki hata mojadah! hii ni shutma nzito. mkuu taratibu invizibo wenyewe habari zisizo rasmi zinasema anatokea North, usje ukapigwa ban for geographical calling
Cha ajabu Mage naye ali-comment kwenye hii thread kabla hajaanzisha ya kwake khee kheee kheee
dah waheshimiwa nalog out na sitoonekana kwa muda mref kidogo hapa JF. yoyote atakaeniulizia mwambieni sijafariki bana nitarejea.Ningekua NECTA ningechakachua majibu yake ya chuo!
Kumbe kuna SPECIAL OFFERMage kijografia kimemkwaza ila nmempa special offer anaweza aka2ma tu ma application
dah! hii ni shutma nzito. mkuu taratibu invizibo wenyewe habari zisizo rasmi zinasema anatokea North, usje ukapigwa ban for geographical calling
Ankal mwalimu wako mkuu amerudi ndio maana umekimbia fasta Khee Kheee kheeeedah waheshimiwa nalog out na sitoonekana kwa muda mref kidogo hapa JF. yoyote atakaeniulizia mwambieni sijafariki bana nitarejea.
all ze best. lidumu JF na Invizibo
Nichakachue jiografia kisa?Labda kama ana ghorofa..duka..Range sport na Rav4!mtumie bana, chakachua jiografia yako atlas si unalo?