TenA odds ndogo ndio zinaongozaOdd ya 1.5
100 return 150
1000 return 1,500
10,000 return 15,000
100,000 return 150,000
1,000,000 return 1,500,000
10,000,000 return 15,000,000
Usibeti kwasababu unashida, beti kwasababu untaka pesa
Kama shingapiRaha ya kubet uwe na mtaji
✔️✔️✔️✔️Odd ya 1.5
100 return 150
1000 return 1,500
10,000 return 15,000
100,000 return 150,000
1,000,000 return 1,500,000
10,000,000 return 15,000,000
Usibeti kwasababu unashida, beti kwasababu untaka pesa
Usiogope oddsTenA odds ndogo ndio zinaongoza
Hv kwa kuchana nimesha chaniwa mkeka wa odds 1.30 kama Mara 7
Imeshasema mkeka means uliweka timu nyingi, ukianza kustake hela kubwa kama 100000 hata uchambuzi wako kuchagua mechi unakua makini sana tofauti na mtu anayeweka 500TenA odds ndogo ndio zinaongoza
Hv kwa kuchana nimesha chaniwa mkeka wa odds 1.30 kama Mara 7
Baba levo amewai kulisibitisha hili....Yes nimeahi sikia kwamba kuna watu wamepiga mshindo kwenye betting lakini hao watu ni nadra sana wanaweza kuwa katika kipimo cha mtu 1 kati 100 ya wale wanaobeti.
Ili kitu kiwe na uhakika wa kitu flani kuweza kuendesha maisha ya mtu kiuchumi basi walau huwa kuna kipimo angalau hata watu wawili kati ya 10 ya watu wanakifanya wanaendesha maisha yao kwa kukitegemea
Je katika makundi ya kila vijana 10 wanaobeti kunaweza kuwa na vijana hata wawili wanaoweza kuendesha maisha kwa betting
Odds ina gundu iyo kuna iyo na 1.23 kama siyo draw bac aliyepewa iyo odd anakufa mazimaTenA odds ndogo ndio zinaongoza
Hv kwa kuchana nimesha chaniwa mkeka wa odds 1.30 kama Mara 7