Serious talk: Je, kubeti kunaweza kuendesha maisha walau kwa vijana hata wawili kati ya kumi wanaobeti?

Serious talk: Je, kubeti kunaweza kuendesha maisha walau kwa vijana hata wawili kati ya kumi wanaobeti?

Odd ya 1.5
100 return 150
1000 return 1,500
10,000 return 15,000
100,000 return 150,000
1,000,000 return 1,500,000
10,000,000 return 15,000,000

Usibeti kwasababu unashida, beti kwasababu untaka pesa
✔️✔️✔️✔️
 
TenA odds ndogo ndio zinaongoza
Hv kwa kuchana nimesha chaniwa mkeka wa odds 1.30 kama Mara 7
Imeshasema mkeka means uliweka timu nyingi, ukianza kustake hela kubwa kama 100000 hata uchambuzi wako kuchagua mechi unakua makini sana tofauti na mtu anayeweka 500
 
Sina maneno mengi
IMG-20230419-WA0005.jpg
IMG-20230418-WA0003.jpg
IMG-20230418-WA0015.jpg
IMG-20230420-WA0002.jpg
 
Yes nimeahi sikia kwamba kuna watu wamepiga mshindo kwenye betting lakini hao watu ni nadra sana wanaweza kuwa katika kipimo cha mtu 1 kati 100 ya wale wanaobeti.

Ili kitu kiwe na uhakika wa kitu flani kuweza kuendesha maisha ya mtu kiuchumi basi walau huwa kuna kipimo angalau hata watu wawili kati ya 10 ya watu wanakifanya wanaendesha maisha yao kwa kukitegemea

Je katika makundi ya kila vijana 10 wanaobeti kunaweza kuwa na vijana hata wawili wanaoweza kuendesha maisha kwa betting
Baba levo amewai kulisibitisha hili....
 
Wapo japo Kwa uchache wake sana .
Kitaan kwangu Kuna Ticha mmoja katoboa kupitia betting ,hilo sijasimuliwa nimejionea Kwa macho yangu .
Jamaa alianza Kwa kustake 50k Kwa odds 2au 3 mwisho 4 hajawah vuka hizo odds .
Alikua anabutua pia anapigwa japo Kwa mlolongo yeye alikua anawin sana.

Saiz stake zake ni kuanzia 1m na kuendelea na sio chini ya hapo.
Kwa harakaharaka vitu vinavyoonekana anavyomiliki si chini ya 60m .
Ndinga tu si chini ya 30m ,nyumba pia ana biashara nzur tu kwasasa tofaut na betting.

Pamoja na yote niliwah kuwaza kuwa Ili utoboe kwenye maisha lazima uwe na roho ya chuma sana pia na Bahat inachangia .
 
Back
Top Bottom