Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Hivi huyu Samia ni Rais kwa mujibu wa uchaguzi gani?
Wote tunajua Oktoba 29 hakukufanyika uchaguzi.
Wote tunajua tume ya uchaguzi ilitangaza matokeo ya uongo.
Wote tunajua Samia hakupigiwa kura na watu milioni 31 kati ya milioni 32 waliodaiwa na tume kuwa walijitokeza kupiga kura.
Wote tunajua Samia hakupata 98% ya kura maana hakuna watu waliopiga kura.
Yote hayo tunayajua na yeye Samia anayajua.
Lakini cha kushangaza watu wanamuita Rais.
Wote mnaomuita hivyo mnakera sana