Seriously, hivi Samia ni Rais kwa mujibu wa uchaguzi gani?

Wataalamu wasomi wanapodai average IQ ya Watanzania ni chini ya wastani ndiyo utaona labda hawakosei. Kwa Mtanzania wa kawaida hilo dubwasha kwao ni "rais" na maisha yanaendelea.
 
Kwa kuwa katangazwa na kuapishwa hata wewe ukitangazwa mshindi na tume na ukaapishwa unakuwa raisi bila kujali umechaguliwa lah!
 
Hivi huyu Samia ni Rais kwa mujibu wa uchaguzi gani?

Wote tunajua Oktoba 29 hakukufanyika uchaguzi.

Wote tunajua tume ya uchaguzi ilitangaza matokeo ya uongo.

Wote tunajua Samia hakupigiwa kura na watu milioni 31 kati ya milioni 32 waliodaiwa na tume kuwa walijitokeza kupiga kura.

Wote tunajua Samia hakupata 98% ya kura maana hakuna watu waliopiga kura.

Yote hayo tunayajua na yeye Samia anayajua.

Lakini cha kushangaza watu wanamuita Rais.

Wote mnaomuita hivyo mnakera sana
 
Tunaendelea kumwita Rais hadi 2030, kama ulikuwa upande wa no reforms no election lazima ikuume.

poleni sana mnavyosema mnakereka sisi ndio tunazidisha.

mlienda icc kutuma mapicha inakuwaje leo mnakuja kulalamika? pelekeni malalamiko yenu kwa mange kimambi na maria sarungi
 
Hivi huyu Samia ni Rais kwa mujibu wa uchaguzi gani?

Wote tunajua Oktoba 29 hakukufanyika uchaguzi.

Wote tunajua tume ya uchaguzi ilitangaza matokeo ya uongo.

Wote tunajua Samia hakupigiwa kura na watu milioni 31 kati ya milioni 32 waliodaiwa na tume kuwa walijitokeza kupiga kura.

Wote tunajua Samia hakupata 98% ya kura maana hakuna watu waliopiga kura.

Yote hayo tunayajua na yeye Samia anayajua.

Lakini cha kushangaza watu wanamuita Rais.

Wote mnaomuita hivyo mnakera sana
Na mbaya zaidi wanaitambua serikali yake na kukosoa teuzi zake.

Hii nchi kuiongoza ni rahisi sana.
 
Back
Top Bottom