Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Uchaguzi wa ZanzibarWatanzania wengi sana ni wajinga, wapumbavu, waoga, makondoo, na mengineyo.
Hivi huyu Samia ni Rais kwa mujibu wa uchaguzi gani?
Wote tunajua Oktoba 29 hakukufanyika uchaguzi.
Wote tunajua tume ya uchaguzi ilitangaza matokeo ya uongo.
Wote tunajua Samia hakupigiwa kura na watu milioni 31 kati ya milioni 32 waliodaiwa na tume kuwa walijitokeza kupiga kura.
Wote tunajua Samia hakupata 98% ya kura maana hakuna watu waliopiga kura.
Yote hayo tunayajua na yeye Samia anayajua.
Lakini cha kushangaza watu wanamuita Rais.
Wote mnaomuita hivyo mnakera sana na mko wapumbavu kabisa 🖕.
Hukuona wapumbavu wenzio walivyoenda kuchoma vituo vya kura oktoba 29?Watanzania wengi sana ni wajinga, wapumbavu, waoga, makondoo, na mengineyo.
Hivi huyu Samia ni Rais kwa mujibu wa uchaguzi gani?
Wote tunajua Oktoba 29 hakukufanyika uchaguzi.
Wote tunajua tume ya uchaguzi ilitangaza matokeo ya uongo.
Wote tunajua Samia hakupigiwa kura na watu milioni 31 kati ya milioni 32 waliodaiwa na tume kuwa walijitokeza kupiga kura.
Wote tunajua Samia hakupata 98% ya kura maana hakuna watu waliopiga kura.
Yote hayo tunayajua na yeye Samia anayajua.
Lakini cha kushangaza watu wanamuita Rais.
Wote mnaomuita hivyo mnakera sana na mko wapumbavu kabisa 🖕.
Harafu huyo kimama wala haoni aibu bado anasema kuwa alichaguliwa kwa asilimia 98%. Nahisi inner being yake ilishakufa siku nyingi.Watanzania wengi sana ni wajinga, wapumbavu, waoga, makondoo, na mengineyo.
Hivi huyu Samia ni Rais kwa mujibu wa uchaguzi gani?
Wote tunajua Oktoba 29 hakukufanyika uchaguzi.
Wote tunajua tume ya uchaguzi ilitangaza matokeo ya uongo.
Wote tunajua Samia hakupigiwa kura na watu milioni 31 kati ya milioni 32 waliodaiwa na tume kuwa walijitokeza kupiga kura.
Wote tunajua Samia hakupata 98% ya kura maana hakuna watu waliopiga kura.
Yote hayo tunayajua na yeye Samia anayajua.
Lakini cha kushangaza watu wanamuita Rais.
Wote mnaomuita hivyo mnakera sana na mko wapumbavu kabisa 🖕.
Jizi na lipenda rushwa limetoa commentsHukuona wapumbavu wenzio walivyoenda kuchoma vituo vya kura oktoba 29?
Ule haukuwa uchaguzi ila ulikuwa uchafuzi na mauaji ya halaikiHivi huyu Samia ni Rais kwa mujibu wa uchaguzi gani?
Wote tunajua Oktoba 29 hakukufanyika uchaguzi.
Wote tunajua tume ya uchaguzi ilitangaza matokeo ya uongo.
Wote tunajua Samia hakupigiwa kura na watu milioni 31 kati ya milioni 32 waliodaiwa na tume kuwa walijitokeza kupiga kura.
Wote tunajua Samia hakupata 98% ya kura maana hakuna watu waliopiga kura.
Yote hayo tunayajua na yeye Samia anayajua.
Lakini cha kushangaza watu wanamuita Rais.
Wote mnaomuita hivyo mnakera sana
Mi mkulima mkubwa tu,si mtumishi wa umma wala sijaajiriwa na mtu nisubiri kupata hela mwisho wa mwezi,siyo kila mwenye hela mwizi kijana,punguza chuki kwa wenye nacho,chuki humuumiza aliyeihifadhiJizi na lipenda rushwa limetoa comments