Setfree Apangua Hoja za Atheists

Sidhani kama dini inasema watu wa believe blindly, kuna elimu unasoma ili u reason na dunia jinsi ilivyo jinsi human mind ilivyo complex, mimea ilivyo, milima ikiwa ina support balancing ya mzunguko wa dunia, jinsi particles zilivyo, hivyo vyote haziwezi tokea on their own, lazima kuna power inahusika na hayo yote, kama vile wanasayansi wanavyoema kuwa tupo kwenye milky way galaxy kwa kuangalia jinsi nyota angani zilivyo
 
Achana na Lazaro hata Jesus mwenyewe hizo evidence alizofanya kwamba alifanya zaidi ya hearsay ni nani aliona...
Hebu fikiri tena kwa makini: Kama ufufuo wa Yesu ungekuwa hearsay, kwa nini wengi waliokuwa mashahidi wake wa karibu walikubali kuteswa na kuuawa kwa kushikilia ushuhuda wao? Sizungumzii mtu mmoja aliyedai kumuona Yesu aliyefufuka, bali makundi ya watu (1 Wakorintho 15:3-6). Ikiwa yote haya yalikuwa uzushi, kwa nini maelfu ya watu walihatarisha maisha yao kwa jambo ambalo walijua ni uongo?
 
Hata kama unachosema kingekuwa kweli kimetokea (sababu wewe evidence yako ni hadithi) ni kwamba basi kungekuwa kuna trick imefanyika au alikuwa ni muongo...
Hahaa, maiti ilikuwa inanuka, wewe unasema alikuwa muongo. Harufu ya mfu unaijua au unaisikia tu.
 
Dini ina muongozo ambao upo tayari (JIBU) kwahio unachofanya ni Ku confirm hayo yaliyomo; Sayansi Haina JIBU before hand bali majibu yanakuja baada ya kuleta proof na evidence ambazo at the time they will be termed factual; wewe leo ukisema haikuwa milky way bali uji wa ulezi au machungwa na kuleta mtiririko ambao una logic basi hilo ndio litakuwa what is known at any given time...
 
Hahaa, maiti ilikuwa inanuka, wewe unasema alikuwa muongo. Harufu ya mfu unaijua au unaisikia tu.
Kama kweli kilitokea unachosema kilitokea na sio wadau kupeana stori za gahawa za enzi hizo (unataka kusema walikuwa hawawezi ku fake harufu au ku swap maiti na huyo Lazaro ambayo alikuwa sehemu amejibanza / jificha ?
 
Kwahio leo hii sababu watu wapo tayari kuua watu na kuvaa mabomu na kuua hata wasio na hatia sababu ya Imani zao (basi hii imani lazima ni ya ukweli)?!!!!

Shule nzima ilimuona Eyesso Mchawi wa Wachawi (Mwanamazingaombwe) Akichinga mtu (Je kweli yule Bakari alichinjwa)?!!!
 
Dini kuwa na muongozo uliyo tayari ni sababu liishakamilika kupitia vitabu tunachoambiwa ni kutafuta zile evidence kwenye vitabu kwa kufanya interpretion ya verse zilizopo
 
Kwa hiki kizungu hata atheist hawatakuja hapa.
 
Hivi kwanini majibu mengi ya kiimani huwa yanapatikana humo humo kwenye vitabu vya kiimani, ambavyo wabishi na watu wengi wasio na imani huwa hawaamini/ hawajiamini?
 
Mfano kuna mwanamazingaombwe alikuwa anakuja na kukata watu vichwa (common sense ilinipelekea kusema kwamba ile ni trick na sio kwamba alichinga watu na kuwafufua)
Kwa taarifa yako kuna mazingaombwe yanayofanywa kwa kutumia uchawi au nguvu za giza(demons). Kuna mtu mmoja alikuwa akifanya mazingaombwe mahali fulani kwa nguvu za giza. Mtumishi mmoja wa Mungu akaenda pale akaanza kukemea kimya kimya kwa Jina la Yesu mazingaombwe yasifanyike. Yule mwanamazingaombwe alifanya njia zote akashindwa kufanya mazingaombwe yake. Baadaye akasema kuna mtu hapa anazuia!! Hiyo inathibitisha ukweli wa yote yaliyoandikwa kwenye Biblia. I presume, umesoma habari za Farao na Wachawi wa Misri – Kutoka 7:10-12, wachawi wa Farao walifanya miujiza kama ile ya Musa, kubadilisha fimbo kuwa nyoka, lakini nguvu zao zilishindwa na nguvu za Mungu.
 
Nilishawahi kusema humu, kila mtu abaki na Imani yake, haya Mambo ya kusema Kama kweli MUNGU yupo aje kujidhihirisha, ni kutafuta matausi tu.
 
Dini kuwa na muongozo uliyo tayari ni sababu liishakamilika kupitia vitabu tunachoambiwa ni kutafuta zile evidence kwenye vitabu kwa kufanya interpretion ya verse zilizopo
Hilo ndio tatizo langu kitu ambacho unadhani kimekamilika huwezi kutoka kwenye ulichodhani hapo mwanzo utakuwa unatetea tu kilichopo (inakuwa ni cult na following na sio pursuit of knowledge)

Tofauti na Sayansi huku ni fluidity watu wanabadilika hawapo chained.., I might say they are Free Mentally without chains...

Ukizingatia hicho kitabu chako wewe kwa mwingine ni Novel (sio kwamba ni universally accepted) it's mere existence is arguably invalid...
 
Nilishawahi kusema humu, kila mtu abaki na Imani yake, haya Mambo ya kusema Kama kweli MUNGU yupo aje kujidhihirisha, ni kutafuta matausi tu.
That is what I said from the get go... to each their own.., ila unapotaka kufanya imani / faith kwamba ni facts au ni sayansi, sisi wadau wa pursuit of knowledge lazima tujaribu kuweka mambo sawa kidogo (yaani kusukuma Imani where it belongs)
 
Hivi kwanini majibu mengi ya kiimani huwa yanapatikana humo humo kwenye vitabu vya kiimani, ambavyo wabishi na watu wengi wasio na imani huwa hawaamini/ hawajiamini?
Swali zuri sana. Katika nyanja yoyote ya elimu, majibu hupatikana kwenye vyanzo vinavyohusiana nayo. Ukimuuliza mwanasayansi kuhusu fizikia, atarejea vitabu vya sayansi; ukimuuliza mwanasheria swali, atakutajia katiba na sheria. Vivyo hivyo, masuala ya kiimani yanajibiwa kwa vyanzo vya kiimani. Ndiyo sababu mimi majibu yangu mengi nafanya reference kwenye Biblia.
 
Kwa hyo wewe una imani gani, how did life begin on earth
 
Mazingaombwe yote its just tricks, tofauti yangu na wewe ni kwamba wewe unasema duh jamaa ana nguvu za giza mimi nakwenda deep na kuuliza je amefanyaje ? Au nikupe the trick behind the trick of ya Indian Rope Trick...

Na hili ndio tatizo kubwa watoto wanazaliwa wakiwa na inquisitive mind hizi baadhi ya imani zinawafunga badala ya kuuliza na kuhoji zinawapa majibu rahisi ya nguvu za giza au miracles...
 
Ni tric
Wameishakuja hapa. Hujawaona?
Sawa sestella rwegoshora, tuendelee na malumbano ya hoja, binafsi Mimi siyo atheist tupo pamoja kupambana na Hawa atheist.
 
Ni tric Hapa atheist ambao ni wanasayansi mtagombana, watakwambia ukamuite MUNGU ndo wataamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…