Several pupils killed after classroom collapses at Precious Talent School in Nairobi

Several pupils killed after classroom collapses at Precious Talent School in Nairobi

Unaongelea mambo ya 90's, mpo so brainwashed abt tz, nyinyi majengo yenu yanaporomoka, madaraja, sasa shule, Mungu aepushie mbali majengo mengine ya social services, sababu from the way it looks, its obvious huwaga mnaibaga hadi materials za ujenzi.
Hao contruction workers ni wezi.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Hapo ni nairobi?????...mbona kuna nyumba za udongo??nyumba za udongo karne hii

Vitongoji vya Mabanda na maghorofa-mporomoko ndiyo Nairobi ya ukweli.

Zile picha-picha zingine wanazoposti hapa ni maeneo machache ya Nairobi yanayo wakawaka, lakini Nairobi kubwa halisi ndiyo hii unayoishangaa huwa wanaificha.

Nairobi watu wengi siyo wakaazi halisi wa jiji kutokana na umasikini hivyo wanakaa mashambani pembezoni ya mji na asubuhi asubuhi ndiyo wanaigia mjini kuhangaika na maisha na jioni wanarudi Muranga n.k.
 
Wakuwacheka ni wale waliotoa permit ya ujenzi wa jengo bovu na pia wakaguzi! usilete ujinga na upumbavu katika hili!
Ujinga na upumbavu ni wewe kumtetea huyo rafiki yako roho mbaya anayecheka watoto saba waliofariki.
 
Vitongoji vya Mabanda na maghorofa-mporomoko ndiyo Nairobi ya ukweli.
Zile picha-picha zingine wanazoposti hapa ni maeneo machache ya Nairobi yanayo wakawaka, lakini Nairobi kubwa halisi ndiyo hii unayoishangaa huwa wanaificha.
Nairobi watu wengi siyo wakaazi halisi wa jiji kutokana na umasikini hivyo wanakaa mashambani pembezoni ya mji na asubuhi asubuhi ndiyo wanaigia mjini kuhangaika na maisha na jioni wanarudi Muranga n.k.
Aisee kweli nairobi ni village!!!..yaani Dar ni bora sana!! nyumba za udongo?????
 
Ujinga na upumbavu ni wewe kumtetea huyo rafiki yako roho mbaya anayecheka watoto saba waliofariki.

Tony254,
Hapa waTanzania wanashangaa halmashauri au county government ya jiji kubwa kama Nairobi kuwa na shule yenye miundomsingi hatarishi.

Tanzania kitu kama hicho huwezi ona, maana kuna process ndefu kuhakikisha shule ktk jiji kubwa kuwa salama hususan majengo yake.
 
ujinga na upumbavu ni wewe kukumbatia ushenzi kwa waliotoa kibali kujengwa jengo substandard!
Mbona unamtetea huyo jamaa kwa mipovu ya geisha? Mbona usimpe nafasi aje ajitetee? Kwani wewe ni Mkikuyu akili timamu na huku sisi hatuna habari?
 
Na kwanini matajiri wote wenu wanatuma watoto wao wasomee Nairobi?
We kichaa unaelewa maaana ya wote??!!
Ebu punguza urongo.
Sema baadhi sio wote.
Maana wapo wanaopeleka watoto wao uingereza ama US wakasome from primary to University.
 
Back
Top Bottom