Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Sawa. Nadhani tumeelewana.We jamaa mbona huelewi hiyo iliyopolomoka si nyumba,ni kibanda ya mbao na Bati
Halafu,nairobi mbona majengo huanguka anguka tu mara kwa mara,kuna matatizo gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa. Nadhani tumeelewana.We jamaa mbona huelewi hiyo iliyopolomoka si nyumba,ni kibanda ya mbao na Bati
Halafu,nairobi mbona majengo huanguka anguka tu mara kwa mara,kuna matatizo gani?
Unajua ninyi mnachekesha?
Ebu angalia hapo kwako kabla utaje ya Jirani
u need leaders like this lady ministerMbona unamtetea huyo jamaa kwa mipovu ya geisha? Mbona usimpe nafasi aje ajitetee? Kwani wewe ni Mkikuyu akili timamu na huku sisi hatuna habari?
We kichaa unaelewa maaana ya wote??!!
Ebu punguza urongo.
Sema baadhi sio wote.
Maana wapo wanaopeleka watoto wao uingereza ama US wakasome from primary to University.
Unaongelea mambo ya 90's, mpo so brainwashed abt tz, nyinyi majengo yenu yanaporomoka, madaraja, sasa shule, Mungu aepushie mbali majengo mengine ya social services, sababu from the way it looks, its obvious huwaga mnaibaga hadi materials za ujenzi.
Unaelewa nilichoongea kaka?Wakenya hawatumi watoto wao Tanzania wasome.
Basi hao Watz wanaokuja kusoma higher education Kenya basi ni masikini ama vipato vya kati hawana hela.Plizz. Naongea maneno ya sasa hivi.
Catholic University in Nairobi is almost 30% Tanzanians. They are so many in UoN and KU too.
90s watanzania hawakuwa na pesa ya kusomeshea watoto wao Kenya.
Nilidhan kuta ya concrete kumbe mbao,RIP watotoWanafunzi saba wamethibitika kufariki na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya kuta za darasa kuwaangukia katika shule ya Precious Talent iliyopo barabara ya Ngong
Kwa mujibu wa Shirika la Uokoaji la Msalaba Mwekundu la Nchini humo, wanafunzi waliojeruhiwa wamekimbizwa katika hospitali ya Taifa ya Kenyatta
Taarifa zinasema kuwa timu za uokoaji nyingine zinaelekea eneo tukio huku chanzo cha darasa hilo kuanguka hakijajulikana bado
*****
Several pupils have been confirmed dead and others injured after a classroom collapsed on them at Precious Talent School on Ngong Road in Nairobi.
According to Dagoreti Sub-county commander George Seda, seven pupils have so far been confirmed dead.
Over 30 injured pupils have been rushed to Kenyatta National Referral Hospital. Response teams are on the scene.
The cause of the incident remains unclear.
Wapo wengi sana huku, mikoa tofauti tofauti. UsijidanganyeWakenya hawatumi watoto wao Tanzania wasome.
Unaongelea mambo ya 90's, mpo so brainwashed abt tz, nyinyi majengo yenu yanaporomoka, madaraja, sasa shule, Mungu aepushie mbali majengo mengine ya social services, sababu from the way it looks, its obvious huwaga mnaibaga hadi materials za ujenzi.
Wapo wengi sana huku, mikoa tofauti tofauti. Usijidanganye
Mm I was talking about primary and secondary educationPlizz. Naongea maneno ya sasa hivi.
Catholic University in Nairobi is almost 30% Tanzanians. They are so many in UoN and KU too.
90s watanzania hawakuwa na pesa ya kusomeshea watoto wao Kenya.
Sasa kaa ukijua hata wapinzani wenu maarufu wamesomea sheria UDWhy would any Kenyan of right mind send their kids to study in LDC Tanzania.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mtu atoke kufunzwa kwa kingereza aende kufunza kwa kiswahili.
Mambo ya kusikitisha sana.
If only Kenyans ditch shortcut trends and actually work in coordination with professionals (instead of quacks,to save some shillings). Also, institutions mandated to carry out quality assurances and what not are sleeping on their jobs.
RIP to the bright pupils whose futures have been dimmed by this tragic occurrence. En wach malich ahinya.
Sasa na natural calamity mambo na serikali inangiliaje? Ni aibu sana kuleta mchezo kwenye mambo kama haya kwa sababu inaonyesha ukosefu wa utu na ubinadamu. Watoto wamepoteza maisha ila wewe kwa njia fulani unasherekea. Wakati lori la mafuta ilipouwa watu huko bongo hivi majuzi tu, uliuliza serikali yenu iko wapi? Kuna mambo mengine hayafai siasa ziingizwe ndaniMY GOD!!!!IS THERE IS A GOVERNMENT THERE??
Sasa na natural calamity mambo na serikali inangiliaje? Ni aibu sana kuleta mchezo kwenye mambo kama haya kwa sababu inaonyesha ukosefu wa utu na ubinadamu. Watoto wamepoteza maisha ila wewe kwa njia fulani unasherekea. Wakati lori la mafuta ilipouwa watu huko bongo hivi majuzi tu, uliuliza serikali yenu iko wapi? Kuna mambo mengine hayafai siasa ziingizwe ndani
Asa ndugu yangu kuhusu lori la mafuta inaeleweka ujinga wa watu kukimbilia gari la petroleum ambalo ni flammable.Sasa na natural calamity mambo na serikali inangiliaje? Ni aibu sana kuleta mchezo kwenye mambo kama haya kwa sababu inaonyesha ukosefu wa utu na ubinadamu. Watoto wamepoteza maisha ila wewe kwa njia fulani unasherekea. Wakati lori la mafuta ilipouwa watu huko bongo hivi majuzi tu, uliuliza serikali yenu iko wapi? Kuna mambo mengine hayafai siasa ziingizwe ndani
Tony254,
Hapa waTanzania wanashangaa halmashauri au county government ya jiji kubwa kama Nairobi kuwa na shule yenye miundomsingi hatarishi.
Tanzania kitu kama hicho huwezi ona, maana kuna process ndefu kuhakikisha shule ktk jiji kubwa kuwa salama hususan majengo yake.