Several pupils killed after classroom collapses at Precious Talent School in Nairobi

0TymJoi.png

Nyani wa Tanzania huwa haoni kundule .
Tangu lini nyani akaona kundule?
 
Jamaa kanishangaza sana walai ..thats why wengi wao ni wachawi
Bwaaaaaaah sasa kufa na kuishi kibera bora nini ? Ukweli usemwe na kuhusu wachawi ni hakina nani !! Sasa acha nikutajie wachawi ili uwajue
1 waliojenga shule mbovu
2 walioluusu wanafunzi kusoma kwenye shule mbovu
3 wazazi waliopeleka wanafunzi kwenye hayo machinjio
4 serikali ya Kenya Kwa kuluusu wanafunzi kusoma kwenye hayo machinjio mnayoyaita school
HAO NDIYO WACHAWI bila kusahau kibwagizo " bora kuishi kaburini kuliko kuishi kibera slum"
 
You wish.
Labda wale walitorokea usalama wao wakati wa serikali ya Moi.
We jamaa fara kweli, mm nina washkaji wakenya nawajua na marafiki zao wanasoma na kuishi Tz. Baki na ignorance yako.
 
Mchawi katika ubora wake[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bwaaaaaaah sasa kufa na kuishi kibera bora nini ? Ukweli usemwe na kuhusu wachawi ni hakina nani !! Sasa acha nikutajie wachawi ili uwajue
1 waliojenga shule mbovu
2 walioluusu wanafunzi kusoma kwenye shule mbovu
3 wazazi waliopeleka wanafunzi kwenye hayo machinjio
4 serikali ya Kenya Kwa kuluusu wanafunzi kusoma kwenye hayo machinjio mnayoyaita school
HAO NDIYO WACHAWI bila kusahau kibwagizo " bora kuishi kaburini kuliko kuishi kibera slum"
 
Bwaaaaaaah sasa kufa na kuishi kibera bora nini ? Ukweli usemwe na kuhusu wachawi ni hakina nani !! Sasa acha nikutajie wachawi ili uwajue
1 waliojenga shule mbovu
2 walioluusu wanafunzi kusoma kwenye shule mbovu
3 wazazi waliopeleka wanafunzi kwenye hayo machinjio
4 serikali ya Kenya Kwa kuluusu wanafunzi kusoma kwenye hayo machinjio mnayoyaita school
HAO NDIYO WACHAWI bila kusahau kibwagizo " bora kuishi kaburini kuliko kuishi kibera slum"

Ebu tazama hii kabla ya kunyoosha kidole kwa mwenzio! Mnafiki mkubwa wewe!
 
Yaani kila kitu nyie huwa ni mashindano [emoji51][emoji51][emoji51]

Mathayo 7: 5 "Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe; ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi katika jicho la ndugu yako"

Luka 6:41

Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii?
 
Mathayo 7: 5 "Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe; ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi katika jicho la ndugu yako"

Luka 6:41

Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii?
 
Ebu tazama hii kabla ya kunyoosha kidole kwa mwenzio! Mnafiki mkubwa wewe!
Mtwara siyo dar pia ni mkoa duni sana ila siyo kama Kenya mjaa tupu sisi tunashangaa shule hiyo iliyopo mji kuwa hivyo
 
Wilaya ya Kilolo mkoa wa Iringa nchini Tanzania , District Commissioner afanya ukaguzi wa ujenzi wa madarasa na kubaini hatari

Back
Top Bottom