LightYagami
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,825
- 1,493
Hao contruction workers ni wezi.Unaongelea mambo ya 90's, mpo so brainwashed abt tz, nyinyi majengo yenu yanaporomoka, madaraja, sasa shule, Mungu aepushie mbali majengo mengine ya social services, sababu from the way it looks, its obvious huwaga mnaibaga hadi materials za ujenzi.
Hapo ni nairobi?????...mbona kuna nyumba za udongo??nyumba za udongo karne hii
Kwani nyumba zenu mmejenga kwa dhahabu?Hapo ni nairobi?????...mbona kuna nyumba za udongo??nyumba za udongo karne hii
Wewe hata hujawahi kanyaga Nairobi. Nyamaza tu.Vitongoji vya Mabanda na maghorofa-mporomoko ndiyo Nairobi ya ukweli.
Ujinga na upumbavu ni wewe kumtetea huyo rafiki yako roho mbaya anayecheka watoto saba waliofariki.Wakuwacheka ni wale waliotoa permit ya ujenzi wa jengo bovu na pia wakaguzi! usilete ujinga na upumbavu katika hili!
Hahaaaa jamaa hizo nyumba hujengwa kakonko huko kigoma ndanindani sio ktk city bwanaaaKwani nyumba zenu mmejenga kwa dhahabu?
Aisee kweli nairobi ni village!!!..yaani Dar ni bora sana!! nyumba za udongo?????Vitongoji vya Mabanda na maghorofa-mporomoko ndiyo Nairobi ya ukweli.
Zile picha-picha zingine wanazoposti hapa ni maeneo machache ya Nairobi yanayo wakawaka, lakini Nairobi kubwa halisi ndiyo hii unayoishangaa huwa wanaificha.
Nairobi watu wengi siyo wakaazi halisi wa jiji kutokana na umasikini hivyo wanakaa mashambani pembezoni ya mji na asubuhi asubuhi ndiyo wanaigia mjini kuhangaika na maisha na jioni wanarudi Muranga n.k.
ujinga na upumbavu ni wewe kukumbatia ushenzi kwa waliotoa kibali kujengwa jengo substandard!Ujinga na upumbavu ni wewe kumtetea huyo rafiki yako roho mbaya anayecheka watoto saba waliofariki.
Ujinga na upumbavu ni wewe kumtetea huyo rafiki yako roho mbaya anayecheka watoto saba waliofariki.
Aisee kweli nairobi ni village!!!..yaani Dar ni bora sana!! nyumba za udongo?????
Jibu swali wacha kurukarukaHahaaaa jamaa hizo nyumba hujengwa kakonko huko kigoma ndanindani sio ktk city bwanaaa
Mbona unamtetea huyo jamaa kwa mipovu ya geisha? Mbona usimpe nafasi aje ajitetee? Kwani wewe ni Mkikuyu akili timamu na huku sisi hatuna habari?ujinga na upumbavu ni wewe kukumbatia ushenzi kwa waliotoa kibali kujengwa jengo substandard!
Nyumba hujengwa kwa cement na mchanga,si kwa udongo,inayojengwa kwa udongo ni kibanda!Jibu swali wacha kurukaruka
Hilo jumba lililoporomoka lilijengwa kwa udongo?Nyumba hujengwa kwa cement na mchanga,si kwa udongo,inayojengwa kwa udongo ni kibanda!
We jamaa mbona huelewi hiyo iliyopolomoka si nyumba,ni kibanda ya mbao na BatiHilo jumba lililoporomoka lilijengwa kwa udongo?
We kichaa unaelewa maaana ya wote??!!Na kwanini matajiri wote wenu wanatuma watoto wao wasomee Nairobi?