Several pupils killed after classroom collapses at Precious Talent School in Nairobi

We jamaa mbona huelewi hiyo iliyopolomoka si nyumba,ni kibanda ya mbao na Bati
Halafu,nairobi mbona majengo huanguka anguka tu mara kwa mara,kuna matatizo gani?
Sawa. Nadhani tumeelewana.
 
Ebu angalia hapo kwako kabla utaje ya Jirani
Unajua ninyi mnachekesha?
Changamoto hizi ni zile ambazo zinaweza kutatulika papohapo.
Ila sio km ninyi mnajenga shule kwa mbao na mabati.
Kheri ya mgonjwa mmeza dawa kuliko mgonjwa maututi wa ICU.
 
Poleni wafiwa wote, tunapomboleza kwa kupoteza watoto wasio na hatia. Hatua kali zichambuliwe dhidi ya waliosababisha maana haya. Na tuangalia Sheria za majengo ya shule zetu hii ni kwa East Africa yote. Mungu ibariki Africa
 
Poleni sana majirani,,ila suala majengo kuporomoka huko kwenu imekuwa too much,!
 
We kichaa unaelewa maaana ya wote??!!
Ebu punguza urongo.
Sema baadhi sio wote.
Maana wapo wanaopeleka watoto wao uingereza ama US wakasome from primary to University.

Wakenya hawatumi watoto wao Tanzania wasome.
 
Unaongelea mambo ya 90's, mpo so brainwashed abt tz, nyinyi majengo yenu yanaporomoka, madaraja, sasa shule, Mungu aepushie mbali majengo mengine ya social services, sababu from the way it looks, its obvious huwaga mnaibaga hadi materials za ujenzi.

Plizz. Naongea maneno ya sasa hivi.
Catholic University in Nairobi is almost 30% Tanzanians. They are so many in UoN and KU too.
90s watanzania hawakuwa na pesa ya kusomeshea watoto wao Kenya.
 
Plizz. Naongea maneno ya sasa hivi.
Catholic University in Nairobi is almost 30% Tanzanians. They are so many in UoN and KU too.
90s watanzania hawakuwa na pesa ya kusomeshea watoto wao Kenya.
Basi hao Watz wanaokuja kusoma higher education Kenya basi ni masikini ama vipato vya kati hawana hela.
Matajiri higher education huwenda kusomea India,China,Turkey,Misri,USA.
Fuatilia sana Watz wenye hela wanakimbilia huko tena sana sana Turkey wamejazana kuliko udhaniavyo.
 
Nilidhan kuta ya concrete kumbe mbao,RIP watoto
 
Kila kitu nynyi ni 90s[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaongelea mambo ya 90's, mpo so brainwashed abt tz, nyinyi majengo yenu yanaporomoka, madaraja, sasa shule, Mungu aepushie mbali majengo mengine ya social services, sababu from the way it looks, its obvious huwaga mnaibaga hadi materials za ujenzi.
 
Wapo wengi sana huku, mikoa tofauti tofauti. Usijidanganye

Why would any Kenyan of right mind send their kids to study in LDC Tanzania.. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Mtu atoke kufunzwa kwa kingereza aende kufunza kwa kiswahili.
 
Plizz. Naongea maneno ya sasa hivi.
Catholic University in Nairobi is almost 30% Tanzanians. They are so many in UoN and KU too.
90s watanzania hawakuwa na pesa ya kusomeshea watoto wao Kenya.
Mm I was talking about primary and secondary education

Catholic university kweli wapo wabongo wengi wanaokuja hapo, hao na wanaoendaga vyuo Ug ni wale wanakuwa wamekosa vyuo huku Tz kutokana na credits zao.
 
So Wewe ni jang'o?
 
MY GOD!!!!IS THERE IS A GOVERNMENT THERE??
Sasa na natural calamity mambo na serikali inangiliaje? Ni aibu sana kuleta mchezo kwenye mambo kama haya kwa sababu inaonyesha ukosefu wa utu na ubinadamu. Watoto wamepoteza maisha ila wewe kwa njia fulani unasherekea. Wakati lori la mafuta ilipouwa watu huko bongo hivi majuzi tu, uliuliza serikali yenu iko wapi? Kuna mambo mengine hayafai siasa ziingizwe ndani
 
Kuanguka kwa majengo kutokana na kujengwa chini ya kiwango au uchakavu kumbe ni natural calamity,
Asee very funny.
 
Asa ndugu yangu kuhusu lori la mafuta inaeleweka ujinga wa watu kukimbilia gari la petroleum ambalo ni flammable.
Ila kuhusu hiyo shule haikujengwa kiubora mpk kuwaangukia wanafunzi.
Hiyo siyo natural calamity kabbisa.
Maana hakuna typhoon wind wala earthquake wala tsunami ilopita hapo.
Na ingekua natural calamity basi isingewakumba wanafunzi tu bali watu wengi wa Nairobi.
Tusisherehekee wala kuleta ushabiki ktk hili lakini ndugu yangu local government zenu zitizameni kiundani.Haiwezekani shule iliyo ktk capital city iwe na kiwango kibovu cha miundombinu hivyo.
Mshurutisheni msimamizi upesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…