Several pupils killed after classroom collapses at Precious Talent School in Nairobi

We kweli zwazwa hata natural calamities huzijui,we kweli shule ulienda kusoma ujinga
 
Why would any Kenyan of right mind send their kids to study in LDC Tanzania.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mtu atoke kufunzwa kwa kingereza aende kufunza kwa kiswahili.
English academy zipo kibao,it depends bro wengine Ni wakenya lakin wanaishi Tz, ttzo akili yako mgando huwezi kuelewa vitu kama hivi
 
That's Tzedians like Giza Ulale ,Re Dimmer na Msukuma Akili Mbaya hizo ndio tabia zao. These folks are true sadists and psychopaths.

When will Nairobi buildings stop to kill innocent people like this?
About 50% of buildings in Kenya are not fit for human habitation.
 
Wewe unacheka na watoto saba wamefariki? Una utu kweli?
Bora walio kufa kuliko wanaoishi maisha ya kibera bora kuishi kaburini kulikp slum Watoto waliokufa tunawatakia pumziko jema ila pole ni Kwa walio nusurika Kwa majeraha
 
Duh!!chenga tupu kabisa walai
Bora walio kufa kuliko wanaoishi maisha ya kibera bora kuishi kaburini kulikp slum Watoto waliokufa tunawatakia pumziko jema ila pole ni Kwa walio nusurika Kwa majeraha
Hapa yani umeonyesha roho yako ni mbaya..nimeanza kushuku ya kwamba nynyi ni wale mkizaa albino mnawauza for rituals
 
Duh!!chenga tupu kabisa walai
Hapa yani umeonyesha roho yako ni mbaya..nimeanza kushuku ya kwamba nynyi ni wale mkizaa albino mnawauza for rituals
Don't be surprised, that's how Tanganyikans reason. Ukiona mtu anasherekea kifo, jua ana tatizo, tena a kubwa sana. Huenda kesho hiyo kifo itabisha mlangoni mwake. Mungu amsamehe
 
Jamaa kanishangaza sana walai ..thats why wengi wao ni wachawi
Don't be surprised, that's how Tanganyikans reason. Ukiona mtu anasherekea kifo, jua ana tatizo, tena a kubwa sana. Huenda kesho hiyo kifo itabisha mlangoni mwake. Mungu amsamehe
 
Wakuwacheka ni wale waliotoa permit ya ujenzi wa jengo bovu na pia wakaguzi! usilete ujinga na upumbavu katika hili!

Unachosema kina ukweli mchungu, wewe uliona wapi ghorofa linajengwa KWA mbao tupu bila ya nguzo za zege au machuma?? Ni upuuzi tupu!
Watoto wanakufa eti halafu tunasema ni natural calamities au "hii ni kazi ya Mungu haina makosa"!!
Ni kazi ya Mungu au Watu Fulani wapumbavu????

Kuporomoka kwa ghorofa lililojengwa kwa mbao ni natural calamities??????????
Hii ni natural calamities au INTENTIONALLY MAN-MADE DISASTERS????
 
Don't be surprised, that's how Tanganyikans reason. Ukiona mtu anasherekea kifo, jua ana tatizo, tena a kubwa sana. Huenda kesho hiyo kifo itabisha mlangoni mwake. Mungu amsamehe

Hakuna MTU yeyote ambaye anayeweza kusheherekea kifo cha binadamu mwingine asiye NA hatia, isipokuwa tunatakiwa tuungane wote ktk kupita vita dhidi ya uzembe ulipitiliza WA kujenga ghorofa za mbao ambazo zinasababisha maafa KWA makusudi KWA Watu wengine
 
Is this a natural calamity or INTENTIONALLY MAN-MADE DISASTER??
 
Nyani wa Tanzania huwa haoni kundule .
 
Wakuwacheka ni wale waliotoa permit ya ujenzi wa jengo bovu na pia wakaguzi! usilete ujinga na upumbavu katika hili!
Soma post yangu hapa juu halafu uwache upumbavu na ujinga nyani wa Tz ona kundu lako kwanza hapo juu.
 
What we can say? But we wish them well anyhow.
 
Thats not a natural calamity. A building collapsed because rules were not followed during construction!!

It's not like an earthquake struck Nairobi.
 
Matokeo ya corruption na ubahili sekta ya ujenzi Kenya - slab badala ya nondo imetumika chicken wire mesh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…