Sevilla ipo nafasi ya 11 la Liga ila bingwa wa Europa mnahoji nini?

Hiii
 

Attachments

  • FB_IMG_16857936235868717.jpg
    33.2 KB · Views: 3
Hujui mpira nimemua kukupuuza..
 
Huwezi kuelewa,ni kuwa contretration wanaoipa hiyo mechi inakuwa ndogo, hadi wnafungwa na vitimu vidogo
 
Hakuna timu ya maana inayotamani kushiriki Europa. Liverpool, Man U, Juve Arsenal, Barca kushiriki Europa ni kufeli. Europa ni kwa timu za kati.
 
Kolos baada ya kuambulia 0 wanatafuta faraja kwa vihoja vidogo vidogo! Wamesahau kuwa waliwanga mchana kweupe ili washinde kombe la shirikisho!
 
Wote USM A & YANGA SC wamefika fainali kwa bahati.. Fainali mbovu kabisa
 
Hakuna timu ya maana inayotamani kushiriki Europa. Liverpool, Man U, Juve Arsenal, Barca kushiriki Europa ni kufeli. Europa ni kwa timu za kati.
Siyo rahisi utopolo kukuelewa . Wanalazimisha furaha kufika fainali ya kombe la timu dhaifu
 
Chelsea alishinda UEFA cl wakati EPL akishika nafasi ya saba
 
Pia usisahau usm alger ana mechi 3 mkononi akishinda anakua nafasi ya 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…