Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi huo mtihani wa Biology inaonekana ulipata Fafafa au Bashite.Wengine tunasoma kujibu mtihani tu.
Nyie ndo mnasababisha watu wazaliane pasipo kupanga, inabidi mfanya kazi ya kuingia google sasaWengine tunasoma kujibu mtihani tu.
Nimelipenda jibu hili. Binafsi nikimaliza zangu nakaa siku 2 bila kufanya kitu. Kwanza kuna kaharufu flank kanabaki ambacho binafs nakisikia Haya nikisex na mtu bivi kutakuwa na raha gani Hapo etiii. Aaghaaa. Muwe na kinyaa buana time zingine
Wakuu habari ya jioni! Niende kwenye swali moja kwa moja.. "Je inawezakana mwanamke akapata ujauzito kama atafanya mapenzi mara tu baada ya period kuisha? Mfano period imeisha usiku wa kuamkia Jumapili 16/4 na yeye akafanya mapenzi tarehe 17/4
Nimeweka thread ya fertilization kama una interest kaisome.Dooh!
Kazi mnayo kweli...! Yaani hata nani haijakauka vizuri wewe unalabua tuu?
Ngoja Sky Eclat aje kukujibu
Hahahahahahahahahahahausitumie hilo neno la kuvuja bana
Hawajafungua shule nahisi ili wakaingie huyo topic!Mmmh....Mleta Mada hujawahi kusoma Biology Shuleni?? Au bado hujafikia hiyo topic??
Hahahahah neno limekukera.usitumie hilo neno la kuvuja bana
Ya tatu halaliNimelipenda jibu hili. Binafsi nikimaliza zangu nakaa siku 2 bila kufanya kitu. Kwanza kuna kaharufu flank kanabaki ambacho binafs nakisikia Haya nikisex na mtu bivi kutakuwa na raha gani Hapo etiii. Aaghaaa. Muwe na kinyaa buana time zingine
Nimeweka threak ya fertilization kama una interest kaisome.
FertilazationNaomba uweke link mkuu, nipate kuiona kirahisi