Sex after menstruation period, unaweza kupata mimba?

Sex after menstruation period, unaweza kupata mimba?

Mkuu mbona una haraka hivyo? Si usubiri k ijisafishe kwanza maana kuna stains za damu bado. Watu hamna kinyaa? Mbaya zaidi utakuta mtu anazama chumvini kulamba mabaki ya damu ya period, wtf!!!!

Hawezi kupata mimba maana hizo ni siku salama kwake.
Aiseeee!!Hapo kwenye kulamba papuchi ni shida kwa kweli tena katoka kwenye siku zake[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mwanammke huenda Hedhi siku7
Haijalishi imeisha siku ya kwanza hio hio au ya 3..
lazima akae 7days....
7days hizo kuna baadhi ya mambo haruhusiwi wana dini mnajua wote... mambo asilia wanajua pia, na nyinyi wanaume hamtakiwi kuwaingilia ndani ya siku7 hizo!

hivi nyinyi wanaume msoenda jandoni mna nini? kila siku mnapishana kutibu henia[emoji22][emoji22]
Hizi sayansi nyingine vp?
 
Kwaiyo we ndo umeambiw henia inasababishwa na kitu icho??
 
Jaman Kuna aina Tatu za Menstrual period kwa wanawake kulingana days at which ovulation occurs.
1.A 21 cycle where ovulation occurs in the 7th day
2.The 28 days cycle, ovulation occurring in the 14th day of the cycle. Most common type of the cycle and that's is known by most people.
3.The 35 days cycle With ovulation on the 21st day.
Recognizing all these cycles, it should be bore in mind that "The possibility of a woman conceiving increases as she approaches THE DAY OF OVULATION" So in the date mentioned above it is exactly possible for her to conceive though the probability is very low ".
 
Ww kung'ata mzigo tu bila ganda.
Kuna 5 dayz free. Tarehe 16 + 5 dayz= kung'uta tu free hadi tarehe 21.
Baada ya hapo ni danger (period 5dayz + 5 free dayz) kama siku 8-10. Baada ya hapo tena kung'uta hiyo kitu bila maganda.
Note: za siku hizi ni sugu. Zimetumika kutoka darasa la 5 hadi chuo wanaume 70. Kipiga kidizaini tu mkuu. Utajichosha bureee
 
Wabongo Kazi Tunayo kweli kweli.
Mtu kauliza ivi inawezekana KE kupata mimba mara tu baada period kuisha?
Lkn hayo majibu na bla bla kibao cjui zitamsaidia nn Mhusika
Jamani Tubadilike Msizani wanaingia humu wote wameenda Shule haipo hivyo Kiukweli Mnaboa sana Hujui kaa kimya.

Jibu ni kama ifuatavyo:

Upo uwezekano mkubwa wa KE kupata mimba after having sex mara baada Period kuisha.

Ni kwasababu Sparm zinaweza kuishi ndani ya tupo la KE kwa Muda wa Masaa 72 Yaani Siku 3 zinasubiria Yai litoke.
 
Baelezeeee baelezeeee hawa vijana wasokua na mila. Sasa kungwi muda gani ni muafaka kuanza kukutana huku mimba zisizotarajiwa zikiepukwa?
naamini siku 10 za mwanzo na 10 za mwisho
10-8 za katikati sinaga imani nazo..
kwasababu niko na watu wangu wamehesabu vizuri siku 11 mimba ikaingia...
kwahivo kalenda sio salama 100%

kwahiyo baada ya siku 7 zile ,3 zinazobaki rukeni ikifika 11 bahati na sibu mpaka 21...
 
Ninaiomba hii elimu madame, nahisi kuna ujumbe mzito hapa!
[emoji23][emoji23]
mimi naamini kila kabila lina mila zao...
wafate wazee!
maana mjini unakuta mtu kalima majani ya maboga ,wakija majirani kuomba anawaambia chuma tu...
kumbe mtu yuko kwa siku zake
kesho majani yote yanakua mekundu hayafai, mtu na period anapika naanaweka chumvi[emoji23] chakula
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Mwanammke huenda Hedhi siku7
Haijalishi imeisha siku ya kwanza hio hio au ya 3..
lazima akae 7days....
7days hizo kuna baadhi ya mambo haruhusiwi wana dini mnajua wote... mambo asilia wanajua pia, na nyinyi wanaume hamtakiwi kuwaingilia ndani ya siku7 hizo!

hivi nyinyi wanaume msoenda jandoni mna nini? kila siku mnapishana kutibu henia[emoji22][emoji22]
Henia?? Aaaah Daktari unaniangusha... How??
 
Kama ana mzunguko wa kawaida hawezi kupata mimba. Otherwise mzunguko wake uwe na kasoro anaweza pata iyo mimba.
 
Mkuu mbona una haraka hivyo? Si usubiri k ijisafishe kwanza maana kuna stains za damu bado. Watu hamna kinyaa? Mbaya zaidi utakuta mtu anazama chumvini kulamba mabaki ya damu ya period, wtf!!!!

Hawezi kupata mimba maana hizo ni siku salama kwake.
Sasa kinyaa kinahusika nn na swali alilouliza jamaa?
 
Back
Top Bottom