Sex after menstruation period, unaweza kupata mimba?

Sex after menstruation period, unaweza kupata mimba?

[emoji23][emoji23]
mimi naamini kila kabila lina mila zao...
wafate wazee!
maana mjini unakuta mtu kalima majani ya maboga ,wakija majirani kuomba anawaambia chuma tu...
kumbe mtu yuko kwa siku zake
kesho majani yote yanakua mekundu hayafai, mtu na period anapika naanaweka chumvi[emoji23] chakula
Mkuu wee chumvi unaweka na gloves au [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Siku za kupata mtoto zaitwa za hatari ebooooh! watoto wamekuwa hatari tena? Naomba ziitwe siku za baraka.😀
 
Mwanammke huenda Hedhi siku7
Haijalishi imeisha siku ya kwanza hio hio au ya 3..
lazima akae 7days....
7days hizo kuna baadhi ya mambo haruhusiwi wana dini mnajua wote... mambo asilia wanajua pia, na nyinyi wanaume hamtakiwi kuwaingilia ndani ya siku7 hizo!

hivi nyinyi wanaume msoenda jandoni mna nini? kila siku mnapishana kutibu henia[emoji22][emoji22]
Henia!!!
 
Kweli mkuu inabidi tuanze kupiga kitabu upya
Of course elimu hii ni muhimu sana na inawezekana kuzuia mimba hata bila kutumia kinga iwapo tu wanaume wengi wataifahamu bahati mbaya wengi walivyojibia mtihani ndo ikawa kwaheri mwalimu, wanawake ni viumbe dhaifu wawapo sita kwa sita sometime anakuambia tumia silaha za maangamizi yupo kwenye siku za kushika mimba unakuta kidume kinakomaa kusimamia show nyama kwa nyama lakini kama wanaume wengi wakijua hili kuna baadhi ya siku katika mwezi kunakuwa hakuna nyama kwa nyama.
 
Guidance hii hapa dogo:

HEDHI ni siku tano (1-5), siku ya sita mpaka ya kumi (6-10) ni SALAMA, siku ya kumi na moja mpaka kumi na nane (11-18) ni HATARI na siku kumi na tisa hadi ishirini na nane (19-28) ni SALAMA.

Za kufundishwa na wewe ongeza zako.
Duh hadi 18? Au 16?
 
After menstruation follows a totally barren period! Hakuna kabisa uwezekano wakupata mimba Mara baada ya menstruation! Ila siku za kumwezesha kupata mimba inategemea na urefu wa mzunguko wake! Kwa mzunguko wa kawaida wa siku 28, ovulation inatokea around the 14th day! Kumbuka mzunguko unaanza siku ya kwanza ya kuingia hedhi. Tangu mwanzo wa hedhi mpaka ovulation ni Siku 14 (kwa kawaida). Hedhi kwa kawaida ni siku 4-6. Kwa hiyo baada ya hedhi zinabakia siku 8 kufikia ovulation (fertile period). Toa siku 2 au 3 kwa uhakika, zinabaki siku 5. Tumetoa siku mbili au tatu kwa sababu sperms zina uwezo wa kustahimili kwa masaa zaidi ya 48 kwenye tumbo LA uzazi na mirija ya uzazi. Kwa hiyo inawezekana mwanamke aliyeingiliwa siku mbili zilizopita na Leo akipata ovulation akatunga mimba!
Kwa hiyo siku zilizo salama kwa uhakika kabisa ni siku 4 baada ya hedhi! Ya tano INA usalama nusu!
Elimu hii wasome wana ndoa tu! Watoto wa SHULE elimu hii ioneni kama kituo cha polisi!
 
Utaijua siku ya ovulation yaani yai kuanguliwa kwa dalili zifuatavyo:
1. Maumivu makali ya ghafla upande wa kulia au wa kushoto wa tumbo zilipo ovaries! Mwezi mmoja ni kulia na unaofuata ni kushoto! Uzoefu utakupa kujua vizuri.
2. Siku mbili kabla ya ovulation kule chini hakuwi kukavu! Kunakuwa na MAJI MAJI ya ute mweupe unaovutika! Kama hauvutiki basi ujue ni ugonjwa!
3. Utajisikia hamu ya kuzidi kawaida ya kufanya mapenzi! Na unakuwa unajisikia vizuri zaidi kuwa karibu na wanaume! Isikushitue ni kitu cha kawaida! Ila jiheshimu! Ni shida ya siku 2 tu! Kipindi hiki utajikuta unawachangamkia sana wanaume na unakuwa na migusano na mwanamume unaifurahia sana!
 
Back
Top Bottom