Hakuna mimba hapo.
Iko hivi mwanamke anapoingia bleed hiyo huitwa siku yake ya 1 then baada ya siku 3 hadi 5 bleed inakata, hapo una siku kama 5 za kupiga mzigo bila mimba na kuanzia siku 11 hadi ya 17 hapa huwa ovary yake ndani siku yeyote ina release ovum (yai) kwenye tumbo la unazi (uterus womb) kwa kusubili urutubishaji kutoka kwenye mbegu za kiume na baada ya Masaa 48 hadi 72 kama hakuna mbegu yeyote ile ya kiume yai huwa linaanza kusagika pamoja na ukuta wa tumbo la uzazi kuanzia hiyo siku ya 17 hadi 28 au 30 na baada ya hapo hutolewa nje kama blood tissues( bleeding) kwa jina maarufu kaingia siku zake.
Note. Kuanza siku yai linaposagika yaani 17 hadi siku atakapoingia bleed huwa tuna suuza lungu kavu kavu kwa kuwa ndani ya siku hizo hapati mimba kwa kuwa yai lake linakuwa limeharibika.