Sex after menstruation period, unaweza kupata mimba?

Mkuu wee chumvi unaweka na gloves au [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Siku za kupata mtoto zaitwa za hatari ebooooh! watoto wamekuwa hatari tena? Naomba ziitwe siku za baraka.😀
 
Henia!!!
 
Kweli mkuu inabidi tuanze kupiga kitabu upya
Of course elimu hii ni muhimu sana na inawezekana kuzuia mimba hata bila kutumia kinga iwapo tu wanaume wengi wataifahamu bahati mbaya wengi walivyojibia mtihani ndo ikawa kwaheri mwalimu, wanawake ni viumbe dhaifu wawapo sita kwa sita sometime anakuambia tumia silaha za maangamizi yupo kwenye siku za kushika mimba unakuta kidume kinakomaa kusimamia show nyama kwa nyama lakini kama wanaume wengi wakijua hili kuna baadhi ya siku katika mwezi kunakuwa hakuna nyama kwa nyama.
 
Duh hadi 18? Au 16?
 
Kuna demu anaenda mpaka siku saba
 
After menstruation follows a totally barren period! Hakuna kabisa uwezekano wakupata mimba Mara baada ya menstruation! Ila siku za kumwezesha kupata mimba inategemea na urefu wa mzunguko wake! Kwa mzunguko wa kawaida wa siku 28, ovulation inatokea around the 14th day! Kumbuka mzunguko unaanza siku ya kwanza ya kuingia hedhi. Tangu mwanzo wa hedhi mpaka ovulation ni Siku 14 (kwa kawaida). Hedhi kwa kawaida ni siku 4-6. Kwa hiyo baada ya hedhi zinabakia siku 8 kufikia ovulation (fertile period). Toa siku 2 au 3 kwa uhakika, zinabaki siku 5. Tumetoa siku mbili au tatu kwa sababu sperms zina uwezo wa kustahimili kwa masaa zaidi ya 48 kwenye tumbo LA uzazi na mirija ya uzazi. Kwa hiyo inawezekana mwanamke aliyeingiliwa siku mbili zilizopita na Leo akipata ovulation akatunga mimba!
Kwa hiyo siku zilizo salama kwa uhakika kabisa ni siku 4 baada ya hedhi! Ya tano INA usalama nusu!
Elimu hii wasome wana ndoa tu! Watoto wa SHULE elimu hii ioneni kama kituo cha polisi!
 
Siku mbili baada ya ovulation ni siku salama sana mpaka kipindi cha hedhi!
 
Utaijua siku ya ovulation yaani yai kuanguliwa kwa dalili zifuatavyo:
1. Maumivu makali ya ghafla upande wa kulia au wa kushoto wa tumbo zilipo ovaries! Mwezi mmoja ni kulia na unaofuata ni kushoto! Uzoefu utakupa kujua vizuri.
2. Siku mbili kabla ya ovulation kule chini hakuwi kukavu! Kunakuwa na MAJI MAJI ya ute mweupe unaovutika! Kama hauvutiki basi ujue ni ugonjwa!
3. Utajisikia hamu ya kuzidi kawaida ya kufanya mapenzi! Na unakuwa unajisikia vizuri zaidi kuwa karibu na wanaume! Isikushitue ni kitu cha kawaida! Ila jiheshimu! Ni shida ya siku 2 tu! Kipindi hiki utajikuta unawachangamkia sana wanaume na unakuwa na migusano na mwanamume unaifurahia sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…