Sex after menstruation period, unaweza kupata mimba?

kwanza inabd ujue period inasababishwa na nini...ukijua hvyo huwezi uliza kamwe...




Period inatokea pale Yai likiwa limeshaharibika baada ya kukaa kwenye uterus bila kurutubishwa



sasa Hiyo Mimba inaenda kurutubishwa kwenye Yai gan??
Mkuu hiyo inawezekana cos mimi ilinitokea kama leo amina period imekata kesho yake nikala mzigo na kitumbo kikabust imekaaje hii ishu.....
 
barabaraa

 
Wakuu habari ya jioni,

Niende kwenye swali moja kwa moja, "Je inawezakana mwanamke akapata ujauzito kama atafanya mapenzi mara tu baada ya period kuisha? Mfano period imeisha usiku wa kuamkia Jumapili 16/4 na yeye akafanya mapenzi tarehe 17/4.
Hapana haiwezekani..
 
Hii inawezakana pia coz nilikuwa na dogo flani wa kusoma na kesho anasafir kwenda skul likizo imeisha na kaumic muhogo wangu anataka nimpe dozi ile ya kuniaga mpaka likizo nyengine ifuate na ukicheki mtoto yupo period nilicho fanya nikamwambia kula ndimu ya unga ukate period kama kawaida asubuh kala ndimu ya unga jioni kweupeeee nikajilia mambo yangu nikamtembezea moto akatoka mwepeeeeeeec baada ya mwezi 1 period yake imepitiliza kwenda kupima ana mimba na anasoma skul gals na si mchanganyiko
 
Mkuu hiyo inawezekana cos mimi ilinitokea kama leo amina period imekata kesho yake nikala mzigo na kitumbo kikabust imekaaje hii ishu.....
Hiyo sio Normal siwezi nikasema moja kwa moja umeibiwa lakini hali ya hvyo ni ngumu sana mkuu.... maana mwanamke akiwa period ina maana ovum(yai) linakuwa limeshaharibika haliwezi kufanya fertilization
 

kuwaingilia ndio neno gani mkuu?tunatumia neno kuingilia pale bashite alipoenda kuingia clouds. just kidding
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…