Sex is Gateway to your soul kuwa makini

Jibu hata Bila Kupepesa macho ni kwamba Akili haiko kwake so Once the psychs haipo No connection but ili kupata connection ametumia Portal ya Mtu mwingine Kuingilia connection aliyopo na kwa bahati mbaya au Nzuri connection imekubali Kwakuwa akili (Psychs) imeamini Yule Anayeconnect Naye ni Aisha wakati ni Halima ama Sophia..Once akili iki Hadaiwa bhasi connection zingine Zitaifunguka Kutokana na kosa la Akili..

Yaani Kilichokosea ni Akili hapo kufungua Geti la.connection
 
Sasa kama akili inaweza kuhadaiwa, Utasemaje kwamba ukisex na mtu unaungana naye kiakili?

Wakati hapo wala hujaungana naye kiakili umehadaa akili kwa kuvuta hisia za mtu mwingine?

Kama kweli ukisex na mtu unaungana naye kiakili na kihisia, Kwa nini uhadae akili au kwa nini uvute hisia za mtu mwingine kuhadaa akili?

Kama kweli ukisex na mtu unaungana naye kiakili na kihisia, Kwa nini Akili zisiungane automatically pasipo kuhitaji kuhadaa akili na kuvuta hisia za mtu mwingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…