DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
- Thread starter
-
- #121
Nimeleezea Post no 111Mkuu hili kisayansi limekaaje ,kwa sababu kwa ulivyo elezea ni kiimani , bado haithibitishi kuwa ni sahihi , vipi kuhusu DNA za wanaume wengi zinaathiri vipi mwili wa mwanamke nikimaanisha sperms DNA?
Mhm ngoja tuone π€π€ ila hilo jambo lipo kiimani zaidi kama ambavyo uwepo wa Mungu ulivyo mkuu.Nimeleezea Post no 111
Wameanza Kulithibitisha kutumia Scientific studies japo mpaka sasa bado zinaendeleaMhm ngoja tuone π€π€ ila hilo jambo lipo kiimani zaidi kama ambavyo uwepo wa Mungu ulivyo mkuu.
Binafsi naona kama hizi mambo zimeshepiwa na dini tu ila kuwe na kaustaabu fulani ,kwa sababu kabla ya dini kuna jamaii za watu hasa wa Norway π³π΄ walikua wanafanya ngono tu na maisha yalienda ,pia hata roma ya kale ilikua ni utamaduni tu na walitawala karibu dunia nzima.Wameanza Kulithibitisha kutumia Scientific studies japo mpaka sasa bado zinaendelea
Tatizo lenu wapinga dini kila kitu mnakichukulia siyo cha kawaida kwa sababu ya hizo dini,hii ni natural ndiyo maana hata wewe unayejiita atheist ukigongewa demu wako utakuja hapa unalia.Binafsi naona kama hizi mambo zimeshepiwa na dini tu ila kuwe na kaustaabu fulani ,kwa sababu kabla ya dini kuna jamaii za watu hasa wa Norway π³π΄ walikua wanafanya ngono tu na maisha yalienda ,pia hata roma ya kale ilikua ni utamaduni tu na walitawala karibu dunia nzima.
Hizo chache sana kwangu nataka nitunze hizi mbegu hadi ntakapoanzisha familiaUnatakiwa ukae hata week mbili jaman
Duuh ndo maana sitaki ujinga kabisa saiviHumu mna mada zinazozungumza hili japo kila mmoja kaelezea kwa namna anavyojua yeye ila hizi mada zimenijenga sana juu ya kuheshimu mahusiano yangu.
Hili jambo nilili-experience mwenyewe miaka 16 nyuma kipindi bado nafanya fanya ujana,kuna demu mmoja nilikuwa na mahusiano nae na nilikuwa nimeshakaa nae faragha mara mbili lakini mara zote nikitoka pale lazima nipatwe na tatizo,either nitapoteza cash kiasi kikubwa,nitapoteza mali ya mtu au nitampa mtu pesa mwisho ananiruka fut mia kwamba hatujawahi kuonana yaani alimradi vurugu.
Siku hiyo funga kazi nimemuita gheto jumapili nakazana kupiga show mara simu inaita,mara ya kwanza mara ya pili mara ya tatu nikaona nikapokee kupokea anapiga simu jamaa yangu jana yake tulipiga deal kumbe kimewaka ikaonekana tuliuza mali ya wizi so tunatafutwa jamaa ananiambia jifiche utakavyojificha ukikamwatwa usitutaje hamu ikaisha nikamruhusu aondoke baadae nikajisemea nimpigie jamaa yangu tuende beach (Coco) kipindi hicho naishi Sinza Mori akaniambia tukutane pale Bamaga kufika akaniambia bwana endesha chuma sijisikii vizuri ile tumebadilishana upande tu kwamba huyu ahamie huku huyu ahamie kule ile namalizia kufunga mkanda niweke D mara pembeni inapaki road patrol imejaa traffic kosa nimepita taa nyekundu.
Nikawaambia wazee mbona ndiyo kwanza nimekabidhiwa usukani na mwenzangu pia upande mnaosema tumetenda kosa siyo upande gari ilikotokea wakasema nabishana na mamlaka wakanipiga mabanzi kama mtoto kisha huyoo mpaka Mabatini police station pale wakasema huyu panapomfaa ni Oysterbay kilichoniokoa pale nilikuwa na mtu but still nililala nikatoka kesho yake mchana,haya mambo yapo aisee,au kuna Ile mtu anaoa anaanza kupoteza mali mwisho anapoteza na kazi yenyewe.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya sex na masturbationHahaha wewe utakuwa ulisoma Anatomy ya Mboneko. Kwanini Isiwe sex, Waulize CHAPUTA.
Jaman si zitajaa zianze kumwagika ovyoo, udenda utakumwagika hadi basiiHizo chache sana kwangu nataka nitunze hizi mbegu hadi ntakapoanzisha familia
Kuna tofauti kubwa sana kati ya sex na masturbationUmenikumbusha Kitu ππ
Prof. Jacob Mtabaji Mungu aendelee kumrehemu Sana (RIP)
CHAPUTA sio sex π π π€£
Kuna vitu vya Kufanyamr naomba kuuliza nitawezaje kufunga mageti yote ambayo nimefungua
Pale nilipo sex na wanawake tofauti
mpaka sasa nina umri wa 26 nimewahi sex na wanawake 5 tu na nyeto kidogo
lakini mpaka sasa nimeacha kabisa mambo ya sex I feel energetic na nisie na mawazo as before but nafeel kama kuna kitu hakipo sawa hasa kwenye maswala ya maendeleo
nifanyaje nifunge mageti mkuu
Nadharia ni nyingi tu , wala hazina uthibitisho wowote siku zikithibitika hakuna atakae bisha.Tatizo lenu wapinga dini kila kitu mnakichukulia siyo cha kawaida kwa sababu ya hizo dini,hii ni natural ndiyo maana hata wewe unayejiita atheist ukigongewa demu wako utakuja hapa unalia.
Hao unaosema wanorwey hizo ngono walikuwa wanafanya randomly au unakuta kila mtu ana mwanamke wake anashiriki nae hicho kitendo kwa siku maalumu iliyopangwa?nakumbuka kusoma mahali kuna nchi ina siku ya ngono duniani nahisi ni hawa.
naomba nitag mr pale utakapo weka chapisho tena la maelezo hayoππΏKuna vitu vya Kufanya
Umesoma Baadhi ya Tafiti nilizowekaNadharia ni nyingi tu , wala hazina uthibitisho wowote siku zikithibitika hakuna atakae bisha.
Malaya ni mtu yoyote anayefanya ngono bila kuoa au kuolewa au anayependwa kupigwa miti Sasa usituletee kwamba unajua sana biblia ningekutukana ila nimekuona mjingqIngekuwa sex inaunganisha watu wawili kihisia, kiakili na kiroho kama unavyodai,
Malaya wote wanao sex na matajiri wangepata akili za kitajiri.
Malaya wote wanao sex na viongozi wa kidini kama mapadri, masheikh n.k na wao wangepata roho ya kuachana na hayo matendo yao.
Lakini sivyo, Malaya wanabaki na umaskini wao licha ya kusex na kutembea na matajiri.
Pia Malaya haohao wanabaki na umalaya wao licha ya kusex na viongozi wa kiroho.
Unakuwa unacheka kwenye vitu ambavyo havichekeshiUsiposhiriki ngono au puchu kwa mwaka je utakuwaje kiroho?