Nasikia Tanzania watu washaanza kuingia JF kwa VPN.Inawezekana kuna watu ndiyo tunaagana nao JF. Baada ya uchaguzi kunaweza kua na mabadiliko makubwa kwa union mwingine wa jukwaa.
100% mm natumia VPNNasikia Tanzania watu washaanza kuingia JF kwa VPN.
Watu walioko Tanzania watusaidie kuhakiki ni kweli hii?
Tunafungiwa ili taarifa za uchaguzi zisimbae, tutaletewa post analysis baadae. Hata maandamano haitakua rahisi kuyapanga.Nasikia Tanzania watu washaanza kuingia JF kwa VPN.
Watu walioko Tanzania watusaidie kuhakiki ni kweli hii?
100%Mbwa aliye na mnofu mdomoni kamwe hawezi bweka,akibweka lazima adondoshe mnofu wake, mara nyingi wanaobweka ni wale ambao hawajapata mnofu mdomoni mwao
Naam.Tunafungiwa ili taarifa za uchaguzi zisimbae, titanates post analysis baadae. Hata maandamano haitakua rahisi kuyapanga.
Hata bila kufunga JF unafikiri watz wamgeandamana acha kuwa mjingaTunafungiwa ili taarifa za uchaguzi zisimbae, titanates post analysis baadae. Hata maandamano haitakua rahisi kuyapanga.
Wazo zuri linalohitaji uungwaji mkono wa dhati kwa Watanganyika wote wenye moyo wa Kizalendo dhidi ya Wezi na maharamia waliopoWapenda haki na mabadiliko wote walioko ndani ya serikali wnapaswa kuhiriki ktk vita dhidi ukandamizaji wa demokrasia na uonevu unaofanywa na serikali hii kwa njia hii.
UShauri wa keybord worrior, nyie ndio mnashinda humu kudanganya watu.Wapenda haki na mabadiliko wote walioko ndani ya serikali wnapaswa kuhiriki ktk vita dhidi ukandamizaji wa demokrasia na uonevu unaofanywa na serikali hii kwa njia hii.
Itapendeza sanaWapenda haki na mabadiliko wote walioko ndani ya serikali wnapaswa kuhiriki ktk vita dhidi ukandamizaji wa demokrasia na uonevu unaofanywa na serikali hii kwa njia hii.
Sio kweliNasikia Tanzania watu washaanza kuingia JF kwa VPN.
Watu walioko Tanzania watusaidie kuhakiki ni kweli hii?
"Mkata swichi" hajatufikia bado kweli?Sio kweli