Sexless: Nashauri kila mzalendo ajitenge na serikali hii kwa kujiuzulu nafasi yake kama alivyofanya Polepole

Migomo na maandamano ni muhimu
Na kuna njia ilipendekezwa na britanicca ya kumpeleka mgombea mmoja wapo wa urais kwenda kupumzika kwa amani dakika za jioni za kampeni ili uchaguzi usogee mbele kwa siku 60.

Zikikaribia kuisha hizo 60 (mfano zikibakia siku 5) mwingine tena anapelekwa kwenda kupumzika kwa amani. Inakuwa hivyo mpk kieleweke.
 
Wajiuzulu km kaka Max ili wajue watu hawapendi uonevu..!!
 
Wapenda haki na mabadiliko wote walioko ndani ya serikali wnapaswa kuhiriki ktk vita dhidi ukandamizaji wa demokrasia na uonevu unaofanywa na serikali hii kwa njia hii.
Mkuu 'Sex'
Wengi wa hao ni "MATEKA", kama tulivyo wekwa kuwa mateka sisi sote ndani ya nchi hii!!

Kiujumla, hakuna aliye na "utashi" wa kufanya jambo lolote wakati huu; kwa sababu tumetekwa.
Tumepangiwa nini cha kufanya na kipi tusifanye bila ya ruhusa ya watekaji.

Mikutano ya kampeni, tunasombwa kwenye malori, ili tukaonyeshe jinsi tunavyo wapenda watekaji wetu.

Swala la muhimu kuliko kila kitu sasa hivi ni kuwaambia hawa mateka ni njia zipi za kujiondoa kwenye umateka wao.

Kuwahimiza tu "wakatae" huku mtekaji akienddelea kushikilia nyenzo zote za utekaji haisaidii kitu.

Ni wakati mwafaka sana sasa hivi kuwaelimisha watu ni njia zipi wazitumie kuondkana na umateka wao.
 
Tunafungiwa ili taarifa za uchaguzi zisimbae, titanates post analysis baadae. Hata maandamano haitakua rahisi kuyapanga.
Tutatafuta visababu vya kila namna vya waTanzania kuendelea kuwa mateka wa hawa washenzi.
Hivi vita vya msituni ambavyo sehemu mbalimbali duniani viliweza kukomboa mataifa, na wao walitegemea mitandao kufanikisha juhudi zao?

Huenda nimetumia mfano mzito kuliko; lakini ukweli ni kwamba wakati huu Tanzania inayo fursa nzuri kabisa ya kuondoa utawala wa hovyo kabisa kirahisi zaidi kukiko wakati mwingine wowote.

Ni swala la jinsi ya kuwahimiza tu waTanzania wakatae kuendelea kunyanyaswa na genge la watu wachache kabisa; tena lisilokuwa na 'influence' kubwa ndani ya jamii.
 
Wapenda haki na mabadiliko wote walioko ndani ya serikali wnapaswa kuhiriki ktk vita dhidi ukandamizaji wa demokrasia na uonevu unaofanywa na serikali hii kwa njia hii.
Thubutu, wafe njaa.
 
Uzuri wake hawawezi kumhonga kila mtu, wapo wengi tu wanaoweza kufanya maamuzi magumu.
 
Wengine tutaendelea kubakia ili kuvujisha taarifa. Huu upuuzi unaoendelea hapa nchini wachache kunufaika kwa nguvukazi ya wengi inabidi ufike mwisho. Ni bora tuihujumu hii nchi hata kwa kuuza taarifa kwa maadui. Kama kukosa tukose wote then tuanze upya tu
labda taarifa za mtaani kwenu
 
Wapenda haki na mabadiliko wote walioko ndani ya serikali wnapaswa kuhiriki ktk vita dhidi ukandamizaji wa demokrasia na uonevu unaofanywa na serikali hii kwa njia hii.
Na NI heshima kufanya hivyo mkuu
 
Wapenda haki na mabadiliko wote walioko ndani ya serikali wnapaswa kuhiriki ktk vita dhidi ukandamizaji wa demokrasia na uonevu unaofanywa na serikali hii kwa njia hii.
Na NI heshima kufanya hivyo
 
Wapenda haki na mabadiliko wote walioko ndani ya serikali wnapaswa kuhiriki ktk vita dhidi ukandamizaji wa demokrasia na uonevu unaofanywa na serikali hii kwa njia hii.
Haiwezekani kujiuzulu Tanzania. Sababu njaa haina baunsa broo
 
Back
Top Bottom