Sexless: Ukiona mchumba wako anaumwa sana wakati wa hedhi basi ujue-katumika sana, katumia sana Vidonge vya kuzuia mimba ama amechoropoa sana

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Kibayolojia kuna sababu zifuatazo zinazosababisha maumivu wakati wa hedhi:
  • 1. Endometriosis.
  • 2. Uterine fibroids.
  • 3. Adenomyosis.
  • 4. Pelvic inflammatory disease.
  • 5. Cervical stenosis.
(Kajisomee mwenyewe hukunilipia ada)

Katika sababu zote hizo ni moja tu (no.5) ndiyo huwezi kumlaumu mwanamke kwa kutokujitunza.

Zilizobakia zote zinasababishwa ama na maambukizi wakati wa kujamiiana au kutumia madawa ya kuzuia mimba mara kwa mara..

Na nyingine husababishwa na utoaji mimba.

Kwahiyo ukiona huyo unayemuita bebi anagugumia mpk kulzwa wakati wa hedhi ujue umepigwa. Katumika mpk kachakaa. Homoni za kike pamoja na mifumo ya via vya uzazi imeparaganyika.

Wewe ktk makuzi yako ushawahi hata kusikia kuwa mamako yuko kwenye hedhi? Au kalazwa kwasbb ya hedhi? Sasa kwann hawa viumbe wa leo? Jibu ni moja tu wamechezea huko kwa bibi mpk basi! Wameingiza midole, ulimi, midawa, chupa, mate, n.k. Atakosa maambukizi???

Na kwa wanawake wa hivi mtoto utamtafuta kwa tochi.

Kataa uhuni wa mapenzi, achana na midada iliyotumika.

Chukua ushauri huu toka kwa kungwi na daktari mbobezi Sexless
 
[emoji120]kungwi mwenye msimamo wake, asiyetetereka, asiyeyumbayumba, asiyetishika, asiyebahatisha na asiyerudi nyuma[emoji23]

[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Wewe ktk makuzi yako ushawahi hata kusikia kuwa yuko kwenye hedhi? Au kalazwa kwasbb ya hedhi? Sasa kwann hawa viumbe wa leo? Jibu ni moja tu wamechezea huko kwa bibi mok basi! Midole, ulimi, midawa, chupa, mate, n.k. Atakosa maambukizi???

Na kwa wanawake wa hivi mtoto utamtafuta kwa tochi.

Kataa uhuni wa mapenzi, achana na midada iliyotumika.

Chukua ushauri huu toka kwa kungwi mbobezi Sexless
Kwavile umesema tukajisomee wenyewe kujua hayo magonjwa. Binafsi nimegoogle huo endometriosis ili kupata info vizuri,maana nilikuwa nausikia sikia.
Nimekutana na hii kauli "Because endometriosis runs in families, it may be inherited in the genes." Kumbe huu ugonjwa huwa unarithishwa, hebu naomba ufafanuzi kungwi
 
Kibayolojia kuna sababu zifuatazo zinazosababisha maumivu wakati wa hedhi:
  • 1. Endometriosis.
  • 2. Uterine fibroids.
  • 3. Adenomyosis.
  • 4. Pelvic inflammatory disease.
  • 5. Cervical stenosis.
(Kajisomee mwenyewe hukunilipia ada)

Katika sababu zote hizo ni moja tu (no.5) ndiyo huwezi kumlaumu mwanamke kwa kutokujitunza.

Zilizobakia zote zinasababishwa ama na maambukizi wakati wa kujamiiana au kutumia madawa ya kuzuia mimba mara kwa mara..

Na nyingine husababishwa na utoaji mimba.

Kwahiyo ukiona huyo unayemuita bebi anagugumia mpk kulzwa wakati wa hedhi ujue umepigwa. Katumika mpk kachakaa. Homoni za kike pamoja na mifumo ya via vya uzazi imeparaganyika.

Wewe ktk makuzi yako ushawahi hata kusikia kuwa mamako yuko kwenye hedhi? Au kalazwa kwasbb ya hedhi? Sasa kwann hawa viumbe wa leo? Jibu ni moja tu wamechezea huko kwa bibi mpk basi! Wameingiza midole, ulimi, midawa, chupa, mate, n.k. Atakosa maambukizi???

Na kwa wanawake wa hivi mtoto utamtafuta kwa tochi.

Kataa uhuni wa mapenzi, achana na midada iliyotumika.

Chukua ushauri huu toka kwa kungwi mbobezi Sexless
Kingine ukiona demu kakaa zaidi ya miezi mitatu hajaona periodi yake shituka.

Au kaingia hedhi zaidi ya wiki shituka.

Wabinti wa mjini wanabugia p2 kama panadol..ukitaka kumuweka ndani hakikisha kazaa..tofauti na hapo mtawajua ma gyno wote kwa majina yao.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwavile umesema tukajisomee wenyewe kujua hayo magonjwa. Binafsi nimegoogle huo endometriosis ili kupata info vizuri,maana nilikuwa nausikia sikia.
Nimekutana na hii kauli "Because endometriosis runs in families, it may be inherited in the genes." Kumbe huu ugonjwa huwa unarithishwa, hebu naomba ufafanuzi kungwi
Hiyo sababu inabuniwa tu na madaktari uchwara wa mitandaoni.possible causes of endometriosis include;-
Screenshot_20221210-144035.png
 
Hiyo sababu inabuniwa tu na madaktari uchwara wa mitandaoni.possible causes of endometriosis include;-
View attachment 2441885
Hizo possible causes ulizotuma screenshot, hata Mimi nimeziona mtandaoni kama zilivyo, ila zilianza na kichwa cha habari kinachosema "Although the exact cause of endometriosis is not certain, possible explanations include:"

Wewe hapo umeanza na neno Possible, sijajua hayo ya mwanzo umeyaacha kusudi au ni vipi.

Alafu kingine Kungwi, umeniambia sababu niliyokupa Mimi, imebuniwa na madaktari uchwara wa mitandaoni, ila hapo hapo ukaleta screenshot uliyoitoa mtandaoni.

Nifafanulie vizuri Kungwi
 
[emoji120]kungwi mwenye msimamo wake, asiyetetereka, asiyeyumbayumba, asiyetishika, asiyebahatisha na asiyerudi nyuma[emoji23]

[emoji122][emoji122][emoji122]
Hureeeeeé! Asante kwa misifa uliyonimwagia.
 
Back
Top Bottom