makorere
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 1,970
- 1,480
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kusema haya magonjwa yameanza mwaka gani? Kwamba zamani hawakuwa wachafu ama vipi, au bacteria wa zamani hawakuwa wakali kama wa sasa hivi?Mm Kama daktari narudia kusisitiza huu huu ni uwongo. Jibu maswali ya kwenye uzi. Ushawahi kumuona bibiako/mamako analalamikia hedhi? Why now?
Aisee! Kumbeee!! Nilikuwa sifahamu hili.Kibayolojia kuna sababu zifuatazo zinazosababisha maumivu wakati wa hedhi:
(Kajisomee mwenyewe hukunilipia ada)
- 1. Endometriosis.
- 2. Uterine fibroids.
- 3. Adenomyosis.
- 4. Pelvic inflammatory disease.
- 5. Cervical stenosis.
Katika sababu zote hizo ni moja tu (no.5) ndiyo huwezi kumlaumu mwanamke kwa kutokujitunza.
Zilizobakia zote zinasababishwa ama na maambukizi wakati wa kujamiiana au kutumia madawa ya kuzuia mimba mara kwa mara..
Na nyingine husababishwa na utoaji mimba.
Kwahiyo ukiona huyo unayemuita bebi anagugumia mpk kulzwa wakati wa hedhi ujue umepigwa. Katumika mpk kachakaa. Homoni za kike pamoja na mifumo ya via vya uzazi imeparaganyika.
Wewe ktk makuzi yako ushawahi hata kusikia kuwa mamako yuko kwenye hedhi? Au kalazwa kwasbb ya hedhi? Sasa kwann hawa viumbe wa leo? Jibu ni moja tu wamechezea huko kwa bibi mpk basi! Wameingiza midole, ulimi, midawa, chupa, mate, n.k. Atakosa maambukizi???
Na kwa wanawake wa hivi mtoto utamtafuta kwa tochi.
Kataa uhuni wa mapenzi, achana na midada iliyotumika.
Chukua ushauri huu toka kwa kungwi na daktari mbobezi Sexless
Daktari..ulifundishwa pia habari za primary dysmenorrhoea ?Tena sijasomea hapa Tanzania wanapofundisha hawa wanywa mbege na gongo. Mm nimesomea nje kwa wenye elimu zao
Uterine fibroid inasababishwa na nini?? Si kweli kabisa.Kibayolojia kuna sababu zifuatazo zinazosababisha maumivu wakati wa hedhi:
(Kajisomee mwenyewe hukunilipia ada)
- 1. Endometriosis.
- 2. Uterine fibroids.
- 3. Adenomyosis.
- 4. Pelvic inflammatory disease.
- 5. Cervical stenosis.
Katika sababu zote hizo ni moja tu (no.5) ndiyo huwezi kumlaumu mwanamke kwa kutokujitunza.
Zilizobakia zote zinasababishwa ama na maambukizi wakati wa kujamiiana au kutumia madawa ya kuzuia mimba mara kwa mara..
Na nyingine husababishwa na utoaji mimba.
Kwahiyo ukiona huyo unayemuita bebi anagugumia mpk kulzwa wakati wa hedhi ujue umepigwa. Katumika mpk kachakaa. Homoni za kike pamoja na mifumo ya via vya uzazi imeparaganyika.
Wewe ktk makuzi yako ushawahi hata kusikia kuwa mamako yuko kwenye hedhi? Au kalazwa kwasbb ya hedhi? Sasa kwann hawa viumbe wa leo? Jibu ni moja tu wamechezea huko kwa bibi mpk basi! Wameingiza midole, ulimi, midawa, chupa, mate, n.k. Atakosa maambukizi???
Na kwa wanawake wa hivi mtoto utamtafuta kwa tochi.
Kataa uhuni wa mapenzi, achana na midada iliyotumika.
Chukua ushauri huu toka kwa kungwi na daktari mbobezi Sexless
Ndiyo! Ni maumivu ya hedhi yasababishwayo na kichocheo kiitwacho prostaglandin.Daktari..ulifundishwa pia habari za primary dysmenorrhoea ?
Daktari ukiacha adenomysis , endometriosis hizo zingine zinasababisha maumivu ya hedhi ?In
Ndiyo! Ni maumivu ya hedhi yasababishwayo na kichocheo kiitwacho prostaglandin.
Lkn maumivu siyo makali kiviiile mpk mtu alazwe hospitali.
Mkuu nimeuliza maswali kwenye uzi wangu hapo kwamba :- kwann wazazi wetu suala la maumivu makali ya hedhi hatukuwahi kulisikia kwao?
Na hata sasa suala hili limeenea Sana mijini kwa wapenda ngono. Vijijini lipo kwa kiasi kidogo mno.
Tusishiriki dhambi ya kuwatetea wazinzi hawa.
Mkuu mbona kama unataka nikupe bure elimu nikiyoigharamia mpk huko nje? Nicheki inbox nikupe namba ulipieDaktari ukiacha adenomysis , endometriosis hizo zingine zinasababisha maumivu ya hedhi ?
Na ukiacha PID hivyo vingine vinasababishwa na uzinzi ??
Jibu hapa kwa faida ya wote ...daktari wetu ..Mkuu mbona kama unataka nikupe bure elimu nikiyoigharamia mpk huko nje? Nicheki inbox nikupe namba ulipie
LipiaJibu hapa kwa faida ya wote ...daktari wetu ..
Kibayolojia kuna sababu zifuatazo zinazosababisha maumivu wakati wa hedhi: