Sexless: Ukiona mchumba wako anaumwa sana wakati wa hedhi basi ujue-katumika sana, katumia sana Vidonge vya kuzuia mimba ama amechoropoa sana

Sexless: Ukiona mchumba wako anaumwa sana wakati wa hedhi basi ujue-katumika sana, katumia sana Vidonge vya kuzuia mimba ama amechoropoa sana

Ukiona jambo wanawake wamelishupalia basi ujue ni la kweli. Ila wanaungana kulipinga ili kuwa blackmail wanaume mazwazwa.

Na mijanaume mizwazwa , mi pussy sika utaona inavyo kokotwa kama mikondoo.

Naungana mtoa mada cos wanawake mnahost kila aina ya magonjwa hadi imefika sehemu ukigusa papuchi mpya lazima upoteza amani siku nne kujiona kama umebeba vya kubeba.

Mtoa mada ongeza sauti.
 
Kingine ukiona demu kakaa zaidi ya miezi mitatu hajaona periodi yake shituka.

Au kaingia hedhi zaidi ya wiki shituka.

Wabinti wa mjini wanabugia p2 kama panadol..ukitaka kumuweka ndani hakikisha kazaa..tofauti na hapo mtawajua ma gyno wote kwa majina yao.

#MaendeleoHayanaChama
Umenikumbusha ngoma ya AY "Machoni kama watu" kuna kipande anasema wengi wanapenda ngono na kuzaa hawataki

Hiki ndo kizazi cha mabinti wa sasa
 
Ukiona jambo wanawake wamelishupalia basi ujue ni la kweli. Ila wanaungana kulipinga ili kuwa blackmail wanaume mazwazwa.

Na mijanaume mizwazwa , mi pussy sika utaona inavyo kokotwa kama mikondoo.

Naungana mtoa mada cos wanawake mnahost kila aina ya magonjwa hadi imefika sehemu ukigusa papuchi mpya lazima upoteza amani siku nne kujiona kama umebeba vya kubeba.

Mtoa mada ongeza sauti.
Hureeee! Asante mkuu kwa kuniunga mkono. Midume inashindwa kuunga mkono kwasabb Ina midemu inayokula Panadol kama chakula kufuatia uchakavu wa via vyao vya uzazi
 
Ng'ambo is not everything, nahisi hata taaluma yenyewe ndiyo umeanza kuoractice...... maumivu wakati wa hedhi not necessarily reflects mtu kutumika SANA KWENYE NGONO.... Mark my words!!!

Nafahamu with VIVID EXAMPLES!!! Wewe vya kusoma na wengine practical, as a WOMAN!!!
Unatetea ujinga. Jibu maswali ya kwenye uzi. Kwann mamako hakuwa anaumwa wewe kila period unameza madonge kama msosi?
 
Kataa wahuni
Wapo wahuni wa kwenye mapenzi. Washatumika hupo kabla na mifataki halafu anakuja kukutia gharama za magyna kijqna wa watu ambaye bado anatafuta maisha
 
Hureeee! Asante mkuu kwa kuniunga mkono. Midume inashindwa kuunga mkono kwasabb Ina midemu inayokula Panadol kama chakula kufuatia uchakavu wa via vyao vya uzazi
Maana kitalam p2 inatakiwa utumie si zaidi ya mara mbili kwa mwaka mzima lkn cha kushangaza hawa ndugu zetu wanakula p2 kama popocone sasa unategemea nn
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Maana kitalam p2 inatakiwa utumie si zaidi ya mara mbili kwa mwaka mzima lkn cha kushangaza hawa ndugu zetu wanakula p2 kama popocone sasa unategemea nn
akili za wanawake Ata ukiwambia Bangi inazuia mimba wanaweza wakuvuta ili kuthibitisha kweli Bangi inazuia mimba
 
Wewe mdada sijui mkaka acha kuwafanya wadada wa watu wakose wachumba..
 
Yaani nimetafakari hadi nikashindwa kucomment...
Binafsi naumwa tumbo tangu nimevunja ungo, naumwa ile haswa.
Sijawahi kutumia vidonge vya uzazi ndo nawaza maambukizi aliyoyasema...yaani zaidi ya 30 yrs nina maambukizi yasiyoonekana kwa vipimo vya madaktari.
Pole sana mimi kuna mtoto wa dada yangu na yy toka akue amepitia haya mambo kuumwa tumbo na kutapika mpk leo hii ikianza ni kuumwa mpk kama ni darasani haingii...ni kunakuwa tuu na abnomalities katika kuta za tumbo la uzazi...nawaonea huruma sana wengine hatujawahi umwa matumbo hata kidogo namshukuru Mungu kwa hili maana ukiona watu wengine utawaonea huruma.
 
Mada za kuvunjana moyo,ungeanza kuandika hivi"Kama huna kifua usisone"
 
Ukiona jambo wanawake wamelishupalia basi ujue ni la kweli. Ila wanaungana kulipinga ili kuwa blackmail wanaume mazwazwa.

Na mijanaume mizwazwa , mi pussy sika utaona inavyo kokotwa kama mikondoo.

Naungana mtoa mada cos wanawake mnahost kila aina ya magonjwa hadi imefika sehemu ukigusa papuchi mpya lazima upoteza amani siku nne kujiona kama umebeba vya kubeba.

Mtoa mada ongeza sauti.
Muombe Mungu akusaidie binti yako asipate hali kama baadhi hapo juu wanazosema wanapitia..
 
Pole sana mimi kuna mtoto wa dada yangu na yy toka akue amepitia haya mambo kuumwa tumbo na kutapika mpk leo hii ikianza ni kuumwa mpk kama ni darasani haingii...ni kunakuwa tuu na abnomalities katika kuta za tumbo la uzazi...nawaonea huruma sana wengine hatujawahi umwa matumbo hata kidogo namshukuru Mungu kwa hili maana ukiona watu wengine utawaonea huruma.
Asante. Ila kuna wanaoumwa zaidi yaani mtu hadi anazimia
 
Nikionaga mwanamke wa hv hata awe mzuri kiasi gani hamu huwa inakata kabisa kuwa nae kwenye mahusiano

Sipendagi mwanamke anaeumwa umwa,ukimuoa wewe ndo unakuwa beki 3 wake
 
Kibayolojia kuna sababu zifuatazo zinazosababisha maumivu wakati wa hedhi:
  • 1. Endometriosis.
  • 2. Uterine fibroids.
  • 3. Adenomyosis.
  • 4. Pelvic inflammatory disease.
  • 5. Cervical stenosis.
(Kajisomee mwenyewe hukunilipia ada)

Katika sababu zote hizo ni moja tu (no.5) ndiyo huwezi kumlaumu mwanamke kwa kutokujitunza.

Zilizobakia zote zinasababishwa ama na maambukizi wakati wa kujamiiana au kutumia madawa ya kuzuia mimba mara kwa mara..

Na nyingine husababishwa na utoaji mimba.

Kwahiyo ukiona huyo unayemuita bebi anagugumia mpk kulzwa wakati wa hedhi ujue umepigwa. Katumika mpk kachakaa. Homoni za kike pamoja na mifumo ya via vya uzazi imeparaganyika.

Wewe ktk makuzi yako ushawahi hata kusikia kuwa mamako yuko kwenye hedhi? Au kalazwa kwasbb ya hedhi? Sasa kwann hawa viumbe wa leo? Jibu ni moja tu wamechezea huko kwa bibi mpk basi! Wameingiza midole, ulimi, midawa, chupa, mate, n.k. Atakosa maambukizi???

Na kwa wanawake wa hivi mtoto utamtafuta kwa tochi.

Kataa uhuni wa mapenzi, achana na midada iliyotumika.

Chukua ushauri huu toka kwa kungwi na daktari mbobezi Sexless
Na mimi nakazia pia kwamba,,kijana usioe single mother!!
 
Ukiona jambo wanawake wamelishupalia basi ujue ni la kweli. Ila wanaungana kulipinga ili kuwa blackmail wanaume mazwazwa.

Na mijanaume mizwazwa , mi pussy sika utaona inavyo kokotwa kama mikondoo.

Naungana mtoa mada cos wanawake mnahost kila aina ya magonjwa hadi imefika sehemu ukigusa papuchi mpya lazima upoteza amani siku nne kujiona kama umebeba vya kubeba.

Mtoa mada ongeza sauti.
Ni kama vile una hasira na wadada. Pole.
Hapa tunamzungumzia msichana binti ambaye anavunja ungo akiwa na miaka 12 na anaumwa tumbo tangu akiwa na umri huo.
Sio wadada watu wazima ambao wapo busy na nyuchi zao kwa style mbalimbali.
Upate binti aumwe ndo utalijua hili.
Acheni mihemko ya kuponda kila kitu cha mwanamke kuna ambao wanapitia wakati mgumu na hawapo hivyo mnavyo fikiria
 
kuna ambao wanapitia wakati mgumu na hawapo hivyo mnavyo fikiria
Mm Kama daktari narudia kusisitiza huu huu ni uwongo. Jibu maswali ya kwenye uzi. Ushawahi kumuona bibiako/mamako analalamikia hedhi? Why now?
 
Back
Top Bottom