Sexless: Ukiona mchumba wako anaumwa sana wakati wa hedhi basi ujue-katumika sana, katumia sana Vidonge vya kuzuia mimba ama amechoropoa sana

Sexless: Ukiona mchumba wako anaumwa sana wakati wa hedhi basi ujue-katumika sana, katumia sana Vidonge vya kuzuia mimba ama amechoropoa sana

Kwa kweli inabidi uwache uongo uliokithiri.
Hoja hupanguliwa kwa hoja. Na ktk hii mada nitafurahi nikipambana na daktari mwenzangu. Wauza magazeti na mbege muishie kuisoma tu hii mada
 
Hoja hupanguliwa kwa hoja. Na ktk hii mada nitafurahi nikipambana na daktari mwenzangu. Wauza magazeti na mbege muishie kuisoma tu hii mada
Mimi nakubali ni muuza tembo la mnazi (mwenyeji wa pwani) lakini kwa daktari wewe hapana.
 
Mimi nakubali ni muuza tembo la mnazi (mwenyeji wa pwani) lakini kwa daktari wewe hapana.
Hahaha! Mkuu hapa utakuwa unanionea bure. Kama siyo daktari sasa mamlaka ya kupinga hoja ya daktari unayatoa wapi?
 
Kibayolojia kuna sababu zifuatazo zinazosababisha maumivu wakati wa hedhi:
  • 1. Endometriosis.
  • 2. Uterine fibroids.
  • 3. Adenomyosis.
  • 4. Pelvic inflammatory disease.
  • 5. Cervical stenosis.
(Kajisomee mwenyewe hukunilipia ada)

Katika sababu zote hizo ni moja tu (no.5) ndiyo huwezi kumlaumu mwanamke kwa kutokujitunza.

Zilizobakia zote zinasababishwa ama na maambukizi wakati wa kujamiiana au kutumia madawa ya kuzuia mimba mara kwa mara..

Na nyingine husababishwa na utoaji mimba.

Kwahiyo ukiona huyo unayemuita bebi anagugumia mpk kulzwa wakati wa hedhi ujue umepigwa. Katumika mpk kachakaa. Homoni za kike pamoja na mifumo ya via vya uzazi imeparaganyika.

Wewe ktk makuzi yako ushawahi hata kusikia kuwa mamako yuko kwenye hedhi? Au kalazwa kwasbb ya hedhi? Sasa kwann hawa viumbe wa leo? Jibu ni moja tu wamechezea huko kwa bibi mpk basi! Wameingiza midole, ulimi, midawa, chupa, mate, n.k. Atakosa maambukizi???

Na kwa wanawake wa hivi mtoto utamtafuta kwa tochi.

Kataa uhuni wa mapenzi, achana na midada iliyotumika.

Chukua ushauri huu toka kwa kungwi na daktari mbobezi Sexless
Umeandika pumba haswa....

🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Yaani nimetafakari hadi nikashindwa kucomment...
Binafsi naumwa tumbo tangu nimevunja ungo, naumwa ile haswa.
Sijawahi kutumia vidonge vya uzazi ndo nawaza maambukizi aliyoyasema...yaani zaidi ya 30 yrs nina maambukizi yasiyoonekana kwa vipimo vya madaktari.
Kuna tendency ya watu kuanzisha attacking thread ili kupata support kwenye kundi la watu fulani.
 
Kuna tendency ya watu kuanzisha attacking thread ili kupata support kwenye kundi la watu fulani.
Ni kweli nimeona hivyo. Na kuna wanaoshabikia ambao hawana uelewa wowote wa kidaktari. Tumewazoea
 
Naelewa, nimewahi pitia hayo maumivu nilikua nakunywa Goden kipakti kizima siku moja. Namshkuru Mungu nilivyozaa tu yakapotea
Wanasema ukizaa inapotea lkn kwangu ilikuwa tofauti..maumivu yaliendelea hadi sasa hivi. Bila kunywa dawa hiyo siku nitakoma
 
Wanasema ukizaa inapotea lkn kwangu ilikuwa tofauti..maumivu yaliendelea hadi sasa hivi. Bila kunywa dawa hiyo siku nitakoma
Mh polee, I hope siku utapata tiba na utapona kabisa
 
Wale wenye chango je yupo dem bikra ila anapata maumiv wakat wa hedhi tena haswa
 
Wale wenye chango je yupo dem bikra ila anapata maumiv wakat wa hedhi tena haswa
Hao pia hutokea kwamba anapata maambukizi kutokana na matumizi yasiyo sahihi ya visafishio kama maji machafu, sabuni iliyobeba uchafu ama yenye kemikali nyingi. Hii hupelekea sehemu zake za siri kushambuliwa na vimelea

Sexless the doctor.
 
Back
Top Bottom