Sexless: Ukiona mchumba wako anaumwa sana wakati wa hedhi basi ujue-katumika sana, katumia sana Vidonge vya kuzuia mimba ama amechoropoa sana

Kuna kuumwa ukubwani hii sasa ndo vyanzo vinaweza kuwa alivyovitaja mleta mada...ila kuna wale watoto tuu from first menstr.. anaumwa kweli kweli..nyie wanaume jitafakarini na nyie ni kina baba mtakua na mabinti sijui ndo mtawaaambia hivi mnavyosema??
 
Mm Kama daktari narudia kusisitiza huu huu ni uwongo. Jibu maswali ya kwenye uzi. Ushawahi kumuona bibiako/mamako analalamikia hedhi? Why now?
Unataka kusema haya magonjwa yameanza mwaka gani? Kwamba zamani hawakuwa wachafu ama vipi, au bacteria wa zamani hawakuwa wakali kama wa sasa hivi?
 
Aisee! Kumbeee!! Nilikuwa sifahamu hili.
 
Uterine fibroid inasababishwa na nini?? Si kweli kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In
Daktari..ulifundishwa pia habari za primary dysmenorrhoea ?
Ndiyo! Ni maumivu ya hedhi yasababishwayo na kichocheo kiitwacho prostaglandin.

Lkn maumivu siyo makali kiviiile mpk mtu alazwe hospitali.

Mkuu nimeuliza maswali kwenye uzi wangu hapo kwamba :- kwann wazazi wetu suala la maumivu makali ya hedhi hatukuwahi kulisikia kwao?

Na hata sasa suala hili limeenea Sana mijini kwa wapenda ngono. Vijijini lipo kwa kiasi kidogo mno.

Tusishiriki dhambi ya kuwatetea wazinzi hawa.
 
Daktari ukiacha adenomysis , endometriosis hizo zingine zinasababisha maumivu ya hedhi ?

Na ukiacha PID hivyo vingine vinasababishwa na uzinzi ??
 
Daktari ukiacha adenomysis , endometriosis hizo zingine zinasababisha maumivu ya hedhi ?

Na ukiacha PID hivyo vingine vinasababishwa na uzinzi ??
Mkuu mbona kama unataka nikupe bure elimu nikiyoigharamia mpk huko nje? Nicheki inbox nikupe namba ulipie
 
Ili asiwe ametumika.
Anatakiwa afanywe mara ngapi katika maisha yake?
 

Enzi nasoma kujibia mihitani nikutana na dhana kama hizo za kwako ila baada ya kutafuta uhalisia, nikagundua kuwa hizo sababu zinabeba kama 45% ya uhalisia
Hivyo wala usijidanganye, zipo sababu nyingi tofauti na hizo ambazo nyingine bado zinafanyiwa utafiti.
Wewe bado ni beginner, ukibobea utajua; naomba usipotoshe watu, Pole!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…