Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #901
Gubu linawasumbua! Kule Kenya Mchina anawanyuka viboko huku jamaa wa Lokichar wamegoma mafuta kutoka huku budget yao ikitegemea fedha za early crude export.Geza habari za masiku?. Vipi hawa Watani wetu wameanza kubadilika au bado akili zilezile?
Ile reli yao ya Mombasa Nairobi sasa hivi Mchina anapasua madaraja.Wewe una ujuzi na uzoefu wa ujenzi wa miundo mbinu au "civil works"? Ni kwamba kuna baadhi ya shughuli za ujenzi ambazo kwa aina na mahitaji yake kiufundi, haziharakishwi.
Kwa kukusaidia uliza hiyo 16% ya kazi ya ujenzi wa reli ni aina gani, ujiridhishe ndipo uje na hiyo kebehi.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ile reli yao ya Mombasa Nairobi sasa hivi Mchina anapasua madaraja.
Uliona hapa ukiwa angani?
dreanliner ilipiata anga la nairobi wakati ikitokea kia kwenda mwanza yaani kibera nyumba zimesongamana kama kundi la nyumbu likiwa mtoni
which routes are you talking about hebu weka hapa nione kama nitabook moja.
Picha ya ATCL ikiwa Mumbai please?Air Tanzania Local Destinations
Discover Air Tanzania destinations
Fly Air Tanzania to the following:-
Mwanza
Bukoba
Kigoma
Mbeya
Kilimanjaro
Zanzibar
Dodoma
Tabora
Songea
Mtwara
Home | Air Tanzania Company Limited
International destinations
Fly Air Tanzania to:
Hahaya
Home | Air Tanzania Company Limited
Hivi hii ndo SGR ya Kenya au ni meter gage??
Daraja lishabonyea!
hili daraja limepachikwa baada ya reli kujengwa!
Hivi hii ndo SGR ya Kenya au ni meter gage??
Angalia hapa, hata hio reli haikuwekwa juu ya concrete sleppers. Walichukua vyuma vya meter guage rail na kuviweka upana wa standard guage juu ya tuta la SGR ambalo hata lilikua halijak amilika kwengine chini kwengine juu na wakapitisha treni hapo juun wakisafirisha mitambo na kokoto
View attachment 818339View attachment 818340
Huu ni mji ama ni kitongoji Duni?Hivi hii ndo SGR ya Kenya au ni meter gage??
wakenya mna roho mbaya sana msingependa kuiona TANZANIA ilkiwa na hata ndege moja, SASA MNAUMIA SANAYenu ni ndoto tuuu.
[emoji134] [emoji134] [emoji134] duuh!!!...kweli ni nginyanginya sgrHivi hii ndo SGR ya Kenya au ni meter gage??
Na wataumia sana!! pesa tunazo tutanunua cash! hatutaki madeni kwa kuanzia miaka hii mitano ndege 7 standard gauge ya umeme tena na yenye ubora si ya hao warugaruga ndege za mkopo mita gauge yao ya mkopo,watambue tu watapata taaabu sana.wakenya mna roho mbaya sana msingependa kuiona TANZANIA ilkiwa na hata ndege moja, SASA MNAUMIA SANA
Mnyonge ama masikini ndiye huwa amejaa wivu...kwa sasa angalia hii section ya Kenyan News, alafu uniambie ni nani wengi kama sio wa huko kwenu kila siku kufungua nyuzi hapa za Tanzania. Pili hebu niambie kama utawapata Wakenya kwa Jukwaa la siasa wakipiga domo na kujisifu vile wako juu. Tatu hebu enda pale Kennyatalk uangalie kama utawapata Jukwaa maalum la Jamii forums wakiingilia habari za Watanzani. Sisi wakenya tuna heshima sana lakini wakati unapotukanyaga vidole lazima we react. Mkuu wewe hatujajibizana siku nyingine na naomba hoja zetu ziwe za watu wazima wenye akili timamu, najua kuna WaTzee walio na heshima sana lakini wengi ndani ya Kenya Forums ni waliojawa na wivu wa kike.wakenya mna roho mbaya sana msingependa kuiona TANZANIA ilkiwa na hata ndege moja, SASA MNAUMIA SANA
Mnyonge ama masikini ndiye huwa amejaa wivu...kwa sasa angalia hii section ya Kenyan News, alafu uniambie ni nani wengi kama sio wa huko kwenu kila siku kufungua nyuzi hapa za Tanzania. Pili hebu niambie kama utawapata Wakenya kwa Jukwaa la siasa wakipiga domo na kujisifu vile wako juu. Tatu hebu enda pale Kennyatalk uangalie kama utawapata Jukwaa maalum la Jamii forums wakiingilia habari za Watanzani. Sisi wakenya tuna heshima sana lakini wakati unapotukanyaga vidole lazima we react. Mkuu wewe hatujajibizana siku nyingine na naomba hoja zetu ziwe za watu wazima wenye akili timamu, najua kuna WaTzee walio na heshima sana lakini wengi ndani ya Kenya Forums ni waliojawa na wivu wa kike.
Mngechukua locomotives kama SD70ACe au SD90MAC kwa ajili ya FREIGHT ningewaelewa then hayo Ndiyo mgetumia katika PASSENGER. Locomotives za mchina kwa upande wa Diesel locomotives hamna kitu Diesel locomotives zenye high tractive effort and better fuel economy niza EMD au GESGR Tanzania
SGR KENYA
Sasa hivi anadai tumeshindwa kuruka continental ndo maana tunaruka nchini!Wewe ndio una wivu wa kike, nakumbuka ulisema kuwa dreamliner yetu haitakuja. Kiko wapi sasa? Kajinyonge sasa na wivu wako wa kijinga.