Mnyonge ama masikini ndiye huwa amejaa wivu...kwa sasa angalia hii section ya Kenyan News, alafu uniambie ni nani wengi kama sio wa huko kwenu kila siku kufungua nyuzi hapa za Tanzania. Pili hebu niambie kama utawapata Wakenya kwa Jukwaa la siasa wakipiga domo na kujisifu vile wako juu. Tatu hebu enda pale Kennyatalk uangalie kama utawapata Jukwaa maalum la Jamii forums wakiingilia habari za Watanzani. Sisi wakenya tuna heshima sana lakini wakati unapotukanyaga vidole lazima we react. Mkuu wewe hatujajibizana siku nyingine na naomba hoja zetu ziwe za watu wazima wenye akili timamu, najua kuna WaTzee walio na heshima sana lakini wengi ndani ya Kenya Forums ni waliojawa na wivu wa kike.