SGR Construction in Tanzania - UPDATES

SGR Construction in Tanzania - UPDATES

Wewe una ujuzi na uzoefu wa ujenzi wa miundo mbinu au "civil works"? Ni kwamba kuna baadhi ya shughuli za ujenzi ambazo kwa aina na mahitaji yake kiufundi, haziharakishwi.

Kwa kukusaidia uliza hiyo 16% ya kazi ya ujenzi wa reli ni aina gani, ujiridhishe ndipo uje na hiyo kebehi.
Ile reli yao ya Mombasa Nairobi sasa hivi Mchina anapasua madaraja.
 
Kaka upo nyuma Sana ya wakati, rekebisha saa yako uweze kufikia walipo wengine
 
labourers-work-on-the-construction-of-a-section-of-the-new-standard-picture-id516170544-jpeg.818340

Daraja lishabonyea!

labourers-work-on-the-construction-of-a-section-of-the-new-standard-picture-id516170594-1-jpeg.818341

hili daraja limepachikwa baada ya reli kujengwa!
 
Last edited:
Angalia hapa, hata hio reli haikuwekwa juu ya concrete sleppers. Walichukua vyuma vya meter guage rail na kuviweka upana wa standard guage juu ya tuta la SGR ambalo hata lilikua halijak amilika kwengine chini kwengine juu na wakapitisha treni hapo juun wakisafirisha mitambo na kokoto

View attachment 818339View attachment 818340

I see narrow gauge on left! This is completed SGR.
 
wakenya mna roho mbaya sana msingependa kuiona TANZANIA ilkiwa na hata ndege moja, SASA MNAUMIA SANA
Na wataumia sana!! pesa tunazo tutanunua cash! hatutaki madeni kwa kuanzia miaka hii mitano ndege 7 standard gauge ya umeme tena na yenye ubora si ya hao warugaruga ndege za mkopo mita gauge yao ya mkopo,watambue tu watapata taaabu sana.
 
wakenya mna roho mbaya sana msingependa kuiona TANZANIA ilkiwa na hata ndege moja, SASA MNAUMIA SANA
Mnyonge ama masikini ndiye huwa amejaa wivu...kwa sasa angalia hii section ya Kenyan News, alafu uniambie ni nani wengi kama sio wa huko kwenu kila siku kufungua nyuzi hapa za Tanzania. Pili hebu niambie kama utawapata Wakenya kwa Jukwaa la siasa wakipiga domo na kujisifu vile wako juu. Tatu hebu enda pale Kennyatalk uangalie kama utawapata Jukwaa maalum la Jamii forums wakiingilia habari za Watanzani. Sisi wakenya tuna heshima sana lakini wakati unapotukanyaga vidole lazima we react. Mkuu wewe hatujajibizana siku nyingine na naomba hoja zetu ziwe za watu wazima wenye akili timamu, najua kuna WaTzee walio na heshima sana lakini wengi ndani ya Kenya Forums ni waliojawa na wivu wa kike.
 
Wewe ndio una wivu wa kike, nakumbuka ulisema kuwa dreamliner yetu haitakuja. Kiko wapi sasa? Kajinyonge sasa na wivu wako wa kijinga.
 
SGR Tanzania
61f74e66c46a54e95caa1c4924393318.jpg

SGR KENYA
Train.jpg
Mngechukua locomotives kama SD70ACe au SD90MAC kwa ajili ya FREIGHT ningewaelewa then hayo Ndiyo mgetumia katika PASSENGER. Locomotives za mchina kwa upande wa Diesel locomotives hamna kitu Diesel locomotives zenye high tractive effort and better fuel economy niza EMD au GE
 
Back
Top Bottom