SGR Dar-Moro: Abood Bus Service alikuwa akitoa basi 40 kwa siku, sasa anatoa 20 kwa siku

Km zipi
 
Kila jambo linafungua fursa zingine, kwa hivi sasa Dodoma ni watu kuchangamkia tu maana kukiwa na ma bus ya maana pale watachukua sana Abiria wa Arusha, Moshi, Iringa, Mbeya na mikoa yote kama Shinyanga mpaka Mwanza. watu wanachukuwa train kutoka Dar to Dom halafu wana connect kikubwa time za ma bus zibadilike kuendana na Train.
 
SGR ilindwe na wajeda sasa maana sio kwa haya
Wanaweza kufukuzia Tembo kwenye reli kama Nyedere wataisha

Natania
 
Kwa usumbufu ulioanza kujitokeza soon wateja watarudi
  1. Ukataji e-ticket SGR una usumbufu na kutoaminika
  2. Usafiri kutoka sehemu mbalimbali za jiji kwenda na kutoka station ni mgumu
  3. Bundi na ngedere hawatafutiwi ufumbuzi
  4. Abiria wanazuiwa kusafiri na mizigo na hakuna innitiatives za kuwa na cargo wargon
  5. Access roads to and from railway stations ni mbovu
 
Unfriendly environments matters!, studies zinaonyesha treni hii itatumiwa zaidi na wasafiri wa Dodoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…