SGR Dar-Moro: Abood Bus Service alikuwa akitoa basi 40 kwa siku, sasa anatoa 20 kwa siku

SGR Dar-Moro: Abood Bus Service alikuwa akitoa basi 40 kwa siku, sasa anatoa 20 kwa siku

Haya ndio matokeo ya SGR, imeleta machaguo zaidi kwa abiria. Sasa hata nauli Abood imeshuka kutoka 13,000 mpaka 10,000.
SSH5tena
Nauli imeshuka tangu lini mkuu?
 
Mr. Abood stay stable!, kwa nauli ya 13,000/- you are unbeatable, kibiashara watakimbilia SGR, but very soon watarudi kwenye ABBOD COUCH,
BELIEVES ME!, Endapo yanatoka 20 stay cool soon idadi itapanda na kufikia 40 buses!
-crocodiletooth mchambuzi yakinifu!
Ni kweli mkuu, kule mambo hayakawii kuharbika , mara bund mara nyan ,mara nyoka
 
Athari lazima ziwepo especially kwa suala la mda anaotumia mteja kufika dar au moro...lakini bado kuna masuala ya ghafla bin vuu, kuna wa vituo vya njiani mbali kutoka dar mpaka moro...so abiria wataopungua hasa ni wale wa dsm to moro..wale wa hadi mikese nk abood na wenzake itawahusu..na wale wasio kuwa na ratiba maalumu
 
Hii ndio hali halisi, wananchi wana machaguo mengi sasa, hata nauli imeshuka kutoka 13,000 mpakq 10,000.

Sasa wafungue njia mpya, kuna sehemu zina lami nzuri lakini mabasi hovyo, Mbeya Mwanza, Mwanza Bukoba, Arusha Tarime, Tanga Mwanza, Tarime Dar. Turiani Mwanza.Mtwara Bukoba, Lindi Mwanza.

Ukiweka sufuria za mchina lazima zitoboke, hapo anakaa msweden mwenyewe

Zote hizo njia dume

SSH2025/2030
Hiyo Mtwara- Bukoba siyo mchezo aisee.
 
Kwa sgr au basi mkuu?
Pia kumbuka abood ni rahisi kushusha bei mpaka 9000/-
Ni 13K Abood, ila kuna wanawake fulani wamepandia Mlandizi kuja Dar nadhani ni walimu wale wamepgwa 5K kila mmoja, wamebisha wakaomba 3K jamaa akawaambia shukeni, wakanywea
 
Back
Top Bottom