SGR Dodoma -Dar yaanza rasmi leo 25 July 2024 usiku huu

SGR Dodoma -Dar yaanza rasmi leo 25 July 2024 usiku huu

Ukiachwa achika. Ukome kuniganda. ..

Pumba unazifata za nini? Bladfakeni wewe 🤣🤣🤣🤣
Huu ni uzi tena sio wa kwako! Umeandika pumba nimekwambia
Sina muda na wazee mimi! Ulivyokua kijana ulikua na nani hadi uzee umalizie na mimi unipe kazi ya kukutawaza ukijinyea!
 
Mbeba maono ni Ben Mkapa.

Mchochea maono ni JK wa Msoga.

Mtekeleza maono ni Mwendazake Magufuli

Mtimiliza maono ni yeye Suluhu

Kila mmoja kwa nafasi yake ametenda kwa kiwango fulani.

Tupia picha!
Huyo Mkpa na JK hawana mchango wowote hapo. Afadhali mama Samia anastahili pongezi kuhakikisha mradi unaisha. Hapo Magu na Mama wanastahili pongezi.
 
Mbeba maono Gani hamalizi kazi?
Issue ni utekelezaji bwana
Kwangu mimi Magufuli ndo nampongeza wengine waliishia kuongea tu
Mambo ya upembuzi yakinifu....
Kujenga ni Process, haswa kwenye miradi inayohitaji pesa nyingi hivyo.

Hata huyo Magu wako hajatekeleza. Mradi kauacha ukiwa less than 60%. Yeye alikuta kila kitu kimeshawekwa, yeye akaindorse funds.

Waliofuata wangeamua kuona hauna maana wangeachana nao tu.
 
Acha ubaya mkuu
 
Pamoja na mbwembwe zote hizi, halahala tusije sikia kuwa shirika linaendeshwa kwa hasara..!! Maana hata ndege tulifanya hivi hivi pamoja na kwenda kuzipokea juu...!! lakini mwisho wa siku zimeendeshwa kwa hasara miaka yote tangu zipokelewe hadi leo..!!
 
Watu wa viunga vya Dodoma wamechangamkia fursa cha kuvutia zaidi ni jengo la station kuu Dodoma, jengo lake limejenjwa mithili ya ternlmials za aieport na lenye nakshi za taa nzuri za kuvutia.
Dodoma ni wachafu na ushahidi ni vyoo vya stendi kuu na vile vya stendi ndogo za mji, je wamejipangaje kuhakikisha vyoo vyote vya stesheni na kwenye mabehewa vinabaki safi forever
 
Nami nimemtaja kama mbeba maono
Yaani kuna watu wanahangaika kuonesha Magu hana mchango kwenye hio miradi. Magu ndio mbeba maono,mthubutu huku hao wengine walikalia majungu na kuponda hio miradi. Nampongeza mama Samia kwa kuhakikisha miradi inakamilika.
 
Umeandika point! Dr Restart jifunze kwa mzee mwenzako uache kuandika pumba!! Unamchukia Magu alikutumbua na vyeti feki nini?
 
Dodoma ni wachafu na ushahidi ni vyoo vya stendi kuu na vile vya stendi ndogo za mji, je wamejipangaje kuhakikisha vyoo vyote vya stesheni na kwenye mabehewa vinabaki safi forever
Kusafisha vyoo ni kazi ya mmiliki wa vyoo.
 
Huu ni uzi tena sio wa kwako! Umeandika pumba nimekwambia
Sina muda na wazee mimi! Ulivyokua kijana ulikua na nani hadi uzee umalizie na mimi unipe kazi ya kukutawaza ukijinyea!
Sina haja ya kutawazwa na asiyeweza kujitawaza mwenyewe. Bado nipo full nondo.

Mtoto mdogo tulia uchote maarifa. Ujue hata taratibu za miradi inavyoenda. Kuliko kukimbilia kusema pumba.

Kazi nilikutafutia, hutaki. Kazi kunisumbua hela ya Vocha. UKOME.
 
Pamoja na mbwembwe zote hizi, halahala tusije sikia kuwa shirika linaendeshwa kwa hasara..!! Maana hata ndege tulifanya hivi hivi pamoja na kwenda kuzipokea juu
Walisema serikali imesubsidise japo umeme unaotumika ni kidogo sana ila sijajua gharama halisi ya uendeshaji kwa route moja ni kiasi gani
 
Ahsante sana magufuli Kwa kuanzisha huu mradi na kuutekeleza na kuumaliza wewe pekee.Rais Samia ajifunze na yeye kuanzisha miradi maana yeye Toka aanze hatuoni chochote zaidi ya kuuza maliasili na kukabizi vitega uchumi vya Nchi Kwa waarabu.Magufuli jembe.
 
Sina haja ya kutawazwa na asiyeweza kujitawaza mwenyewe. Bado nipo full nondo.

Mtoto mdogo tulia uchote maarifa. Ujue hata taratibu za miradi inavyoenda. Kuliko kukimbilia kusema pumba.

Kazi nilikutafutia, hutaki. Kazi kunisumbua hela ya Vocha. UKOME.
🚮
 
Back
Top Bottom