Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
KIKWETE ATAKUJA KUKWAMBIA ALIANZISHA YEYE. ALIMUACHIA MAAGIZO MAGUFULI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mtoto hana adabu. Hana aya hata kidogo. Kisa kafutuka anajiona kakua.Umejipata sasa unatukana kaka zako ee..
Taco laco haha
Ht 60% hiyo kajitajidi sn kwenye nchi hii ya viongozi wanaozinguaKujenga ni Process, haswa kwenye miradi inayohitaji pesa nyingi hivyo.
Hata huyo Magu wako hajatekeleza. Mradi kauacha ukiwa less than 60%. Yeye alikuta kila kitu kimeshawekwa, yeye akaindorse funds.
Waliofuata wangeamua kuona hauna maana wangeachana nao tu.
Viva Samia, uliikuta reli haijafika hata kilometa 40, sasa mpaka mabehewa yapo, yanatembeaHatimaye SGR imeanza kazi rasmi kwa safari za Dodoma -Dar.
Watu wa viunga vya Dodoma wamechangamkia fursa cha kuvutia zaidi ni jengo la station kuu Dodoma, jengo lake limejenjwa mithili ya ternlmials za aieport na lenye nakshi za taa nzuri za kuvutia.
Watu wa Dodoma nao wamechangamkia fursa kwa kukata tiketi kwa ajili ya kutunia usafiri huu ambapo usiku huu wamepanga foleni kwa ajili ya kupata huduma ya usafiri.
Sio vibaya tukampa shukrani mbeba maono na mwanzilishi wa huduma hii muhimu..Mwenda zake Magufuli.
Rai yangu kwa viongozi wengine wajifunze katika hili nao wawe na moyo wa uthubutu.
Rais Samia unalo la kujifunza hapa.
View attachment 3051256View attachment 3051257View attachment 3051258View attachment 3051259
Pia soma:Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa kagua SGR, Treni kuanza kufanya kazi Juni 14 (Dar-Moro), Julai 25 (Dar-Dom)
Nimeongea ukweli! Unamchukia Magu unaongea kuonyesha hana kitu kikubwa alichokifanya hapoHuyo mtoto hana adabu. Hana aya hata kidogo. Kisa kafutuka anajiona kakua.
Malabuk.
Simchukii yule mzee. Matumizi mabaya ya chuki. Nimchukie Marehemu?Nimeongea ukweli! Unamchukia Magu unaongea kuonyesha hana kitu kikubwa alichokifanya hapo
Kua na aibu hata kidogo! Ni vile upo huko vijijini sisi huku wa mjini tunamshkuru kwa miundombinu aliyotuachia!
Hapa sasa ndiyo umeongea vitu vya kueleweka kama marks nakupa 40/100Simchukii yule mzee. Matumizi mabaya ya chuki. Nimchukie Marehemu?
Alifanya kwa kiwango chake. Kwa uthubutu mkubwa.
Tukigawa kwa asilimia basi tutampa
Ben 10%
Msoga 2%
Magu 55%
Suluhu 33%.
Amefanya sehemu kubwa. Ila haimaanishi ndiye pekee aliyeshinikiza.
Hope umeelewa ewe mwana usiye na adabu.
Wananchi wenye Elimu...!?Ipi ..ya CCM...!? HIYO INAKUFAA WEWE NA WAZAZI WAKO TU..CHADEMA na SGR wameingiaje hapo??SGR imekamilika hadi Dodoma, tuishukuru sana Serikali ya CCM, tena sana sana, chini ya Mama yetu, Rais wetu mpendwa, Samia Suluhu Hassan, haya ni maendeleo makubwa sana…!!! Chadema mkitaka kuandamana mnaruhusiwa kuapanda ndege za ATCL na treni ya umeme muandamane mikaoni. CCM ni chama cha kufanya kazi na kuleta maendeleo makubwa ya kuonekana na Chadema kazi yao kuandamana na kupanda ndege na treni, sasa wananchi siku hizi wana elimu wanajua mbivu na mbichi, mchele na chuya..!!
7bu ya kuwashukuru ni ipi?SGR imekamilika hadi Dodoma, tuishukuru sana Serikali ya CCM, tena sana sana, chini ya Mama yetu, Rais wetu mpendwa, Samia Suluhu Hassan, haya ni maendeleo makubwa sana…!!! Chadema mkitaka kuandamana mnaruhusiwa kuapanda ndege za ATCL na treni ya umeme muandamane mikaoni. CCM ni chama cha kufanya kazi na kuleta maendeleo makubwa ya kuonekana na Chadema kazi yao kuandamana na kupanda ndege na treni, sasa wananchi siku hizi wana elimu wanajua mbivu na mbichi, mchele na chuya..!!
Mzee mwanga yuleKiwete anasema yeye ndio kagundua hiyo Reli.
Safi kabisaMbeba maono ni Ben Mkapa.
Mchochea maono ni JK wa Msoga.
Mtekeleza maono ni Mwendazake Magufuli
Mtimiliza maono ni yeye Suluhu
Kila mmoja kwa nafasi yake ametenda kwa kiwango fulani.
Tupia picha!
Yaani mtu kuota tu nako anataka apongezwe??Simchukii yule mzee. Matumizi mabaya ya chuki. Nimchukie Marehemu?
Alifanya kwa kiwango chake. Kwa uthubutu mkubwa.
Tukigawa kwa asilimia basi tutampa
Ben 10%
Msoga 2%
Magu 55%
Suluhu 33%.
Amefanya sehemu kubwa. Ila haimaanishi ndiye pekee aliyeshinikiza.
Hope umeelewa ewe mwana usiye na adabu.